Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ikiwa unatafuta fomu safi za pdf za kielectronic (e-forms) ambazo unaweza kujaza na zinazoweza kuhaririwa ili kukidhi mahitaji yako mengi, ni wakati sahihi sasa kujipatia. Kufanya fomu ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Motor nyingi za visima vya maji zimekuwa zikifanya kazi chini ya kiwango chake kutokana na kupokea umeme mdogo kutoka katika mfumo wa umeme. Kwa asilimia kubwa visima vingi hasa virefu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mjini NALA BP. Karbu na chuo kabisa. Ni Kiwanja cha Makazi kina ukubwa wa 569 Square mita. Huduma zote zipo maji na umeme. Kipo Barabarani. Kimepimwa na HATI. BEI 5.5M...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kitabu cha bs kwa ajili ya advance level biology kinahitajika kwa bei nafuu kiwe used aw kipyaa nipo Dar es Saalam. Mwenye nacho tuwasiliane kwa namba 0656-548919
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni matumain yangu mu-wazima wa afya! Natarajia kuvuna viazi mviringo mwanzo wa mwezi March, yeyote ajuaye soko zuri au kusaidia kupata taarifa ya soko zuri anisaidie/tuwasiliane. Nimelimia njombe...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wadau, Nawasalim... Leo naomba tuongelee madirisha. New trend in Europe ni utumiaji wa madirisha ya plastic a.k.a plastic windows or PVC windows. Katika nchi hizi madirisha haya yana manufaa...
9 Reactions
65 Replies
38K Views
Heshima kwenu wakuu,kama heading inavyojieleza hapo juu, tunachora ramani za nyumba za kisasa za aina zote,na pia tunatoa ushauri juu ya ujenzi bora kwa gharama nafuu. kwa mawasiliano piga...
0 Reactions
59 Replies
14K Views
Anayehitaji chumba cha kupanga maeneo ya Tegeta Kibo Complex kwa nyuma anicheki Kuna chumba kikubwa Kiko ghorofani, kina: Gypsum Ceiling fan (Panasonic) Tiles Dirisha la aluminium Choo kiko Cha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Kiringeni. Mimi ni mkulima wa mazao na mifugo tofauti tofauti. Nina mpango msimu huu kuanzisha kilimo cha migomba katika eneo la ekari 2.5. Nahitaji kufanya kilimo hiki kisasa (4th...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
.. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kichwa cha uzi kiko wazi! Nimepata teteleko la kimaisha upande wa uchumi. Naombeni mnitajie Nyumba za kulala wageni kwa pesa kiasi cha shilingi elfu nne au chini ya hapo kwa hapa Dar! Asanteni...
5 Reactions
50 Replies
7K Views
Kufuatia kuwepo kwa corona china...hata utoaji wa bidhaa umefifia.. Ni soko gani linafanya kazi nje ya china lenye bidhaa za kueleweka? NB masoko ya E.A siyataki
0 Reactions
4 Replies
880 Views
Wakuu habari, Kwa mwenye kuhitaji tv tajwa hapo juu Tv ni smart 4K brand LG 49" naiuza mambo yango hayo sawa nataka kusawazisha mambo hivo naamua kuiuza Bei ni laki 9 na nusu(950,000) mzigo upo...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Nipo naanza ujenzi, nataka kutumia formwork za kukodisha ila msaada wa kujua bei zake kabla sijawafuata wahusika ili nisipigwe. Na anayejua wakodishaji. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jenga nyumba yako is a product design to help people of all income level to acquire loan to build house of their dream starting from 29 milions,with repayment period of up to 20 years Tuwasiliane...
3 Reactions
23 Replies
8K Views
Piki piki used Inauzwa Aina: Hero Dawn, cc 100 Mzalishaji: India Bei: Tsh 1,200,000 Mahali: Dar es Salaam Inatembea na iko katika hali nzuri, Ilikuwa ikitumika kuendea kazini na kurudi na Haina...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Make : Toyota Model : RACTIS Year : 2006 Engine Model : vvti Push to start Capacity : 1290cc Location : kijitonyama Full AC Full Documents Price : 9.7M Call : 0717436363 Sent using Jamii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye king'amuzi cha azam aniuzie pajet yangu 70000 tu anicheki whatsapp 0715992666 nipo dar
0 Reactions
5 Replies
958 Views
Nahitaji pikipiki aina ya haujue ofa raki 900000 0719337897 mwenye nayo anicheki Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana JF naitw john napatikana Kibaha pwani nauza Mapapai ya kisasa makubwa kwa madogo karibuni sana kwa mawasiliano 0686301689 pamoja sana bei za shamba
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom