Nyumba inuzwa Ukonga

Nyumba inuzwa Ukonga

saidaty

Senior Member
Joined
Oct 3, 2018
Posts
193
Reaction score
162
Nyumba inauzwa.

Bei: Tsh mil 45. Maongezi yapo

Location: Ukonga Banana
Eneo: Kibeberu

Ni dakika 7 kutoka Lami Kuu mpaka kufika kwenye Nyumba
Barabara yake ipo vizuri na inapitika wakati wowote
Maji na Umeme tayari vipo
Miundo mbinu yote ya kijamii ipo nk.

Ukubwa wa Kiwanja : Sqm 600

Umiliki: Ina sales agreement ila pameshapimwa na hati iko hatua za mwishoni

3bedrooms Kimoja ni master.
kitchen kubwa
dinning
sitting room
public toilets.

kuja kuona nyumba za kununua ni tsh elfu 20

Kwa maelezo zaidi

Piga :+255684982207

Tsup: +255717671240
Maongezi yapo

IMG-20200302-WA0005.jpeg
IMG-20200302-WA0006.jpeg
IMG-20200302-WA0008.jpeg
IMG-20200302-WA0009.jpeg
IMG-20200302-WA0010.jpeg
IMG-20200302-WA0012.jpeg
IMG-20200302-WA0007.jpeg
IMG-20200302-WA0011.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mbona hio nyumba sija ielewa?kama vile ni....una hati nanyaraka zake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom