wadau karibuniNaitaji suzuki carry ya kukodisha,,
iwe imefunikwa cabin, kwa matumizi ya DSM.
cont: 0758788801
Weka bei hapa na picha wahitaji ni wengiMi nnayo carry namba C naiuza bei karib na bure kabisaaaa (bei ya pikipik kabisaaa)
Ipo ktk hali nzuri. Km unaihitaji karib pm
Mkuu inaweza kutokea hii gari ikawepo? nahitajiMi nnayo carry namba C naiuza bei karib na bure kabisaaaa (bei ya pikipik kabisaaa)
Ipo ktk hali nzuri. Km unaihitaji karib pm
Ilishauzwa mkuu. AhsanteMkuu inaweza kutokea hii gari ikawepo? nahitaji
Mkuu Mimi nauza yangu nzima kabisa bei yake 3.8mWeka bei hapa na picha wahitaji ni wengi