Natafuta hiyo gari aina ya Toyota Harrier new model namba kuanzia DJ.
Mwenye nayo au kama unayo taarifa naomba tusaidiane. Nataka ya kununua bajeti yangu Milioni 16-17.5 itategemeana na ubora wa...
Za wakati huu wana JamiiForums,
Maisha yapo tofauti wakati mwingine na wakati mwingine huna.
Hata Kimara sawa tu ila tu kisiwe mbali na kituo cha bus. Cha muhimu kuwe na magari yanayopita...
Wakuu, habari za muda huu?
Tunapokea oda za kushona sare za shule kwa gharama nafuu sana.
SHULE ZA AWALI:
Kaptura 1 - 3500
Shati 1 - 3500
Sketi 1 - 3500
Gauni 1 - 4000
Kaptura za michezo 1 -...
Nahitaj frame au eneo maeneo ya Dar, kwa ajili ya biashara ya chakula Kariakoo, Mbagala, Mombasa,Gongo la Mboto, Mwenge na kwingine kwenye interactions zaidi.
Natanguliza shukrani.
Shamba heka 22 naziuza zipo km 8 kutoka barabarani iendayo mtwara na km 100 kutoka mbagala , lipo Mkuranga kijiji cha miteza , Shamba halijawahi kulimwa. Maji yapo karibu. Lina hati ya kijiji...
Hallow wapendwa,
Sorry naomba kuuluzia kama yoyote anayewafahamu Mawakala wa kiwanda cha rangi kinachoitwa plascon.
Naomba mnijuze wapendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Za wakati huu wanajamii forum
Maisha yapo tofauti wakati mwingine na wakati mwingine huna.
Naombeni anayefahamu chumba kinapangishwa maeneo hayo ya M Cityity, Savei, Mwenge, Ubungo, Sinza...
Habari za wakti huu.
Hii ni very urgent.Kama wewe ni Dalali uliyepo Morogoro Mjini au zaidi Maeneo ya Kihonda basi tuwasiliane PM nikupe Biashara unifanyie Chap.
Ni biashara ya kuuza eneo la...
Kichwa cha habari chajieleza, niko Dodoma mjini natafuta pikipiki used iwe boxer au Tvs
Budget yangu milioni moja cash.
Ikiwa uko hapa Dom au mikoa ya jirani itapendeza.
Uzi tayari.
Sent using...
Habari za kazi wakuu,
Natafuta Butcher ya kukodi jijini Dar es Saalam, kwa yeyote anaeweza kunisaidia kwa namna moja au nyingine namkaribisha tafadhari.
Butcha inaweza kuwa mtaa wowote, naona...
Engine motor zilizotumika kidogo zinauzwa.
Ya petrol na diesel. 6.5HP @ 3500 rpm na tank la lita 3.5 zipo Dar. Tsh 250,000 each
Zimetengenezwa na kampuni ya kimarekani Briggs & Stratton. Ni...
Wakuu habari,
Nilikua nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Africana, makongo au kigamboni vigezo:) iwe self contained yani chumba kimoja na choo ndani kwa ndani ii) pasiwe na msongamano wa...
Habari za muda huu wadau, nahitaji viti vya plastic 10 na meza za plastic 3 kwa mwezi mmoja, location MWANZA 0783761235.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.