Nahitaji mayai kwa ajili ya kufanya Biashara

Nahitaji mayai kwa ajili ya kufanya Biashara

Entreprenuare

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
1,616
Reaction score
1,737
Wakuu habari!

Nina idea ya kufanya biashara ya kununua mayai ya kizungu kwa bei ya jumla na kuyauza kwa bei ya reja reja ..

Sasa, wapi naweza kupata hayo mayai kwa bei ya jumla kwa hapa DSM, na kwa bei gani?

Nimeona soko lipo kwa hawa wauza chips , na madukani, ila naomba kufahamishwa masoko mengine zaidi..

NB, Naishi DSM, Kimara Korogwe

Whatsapp 0654171555

Karibu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom