Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu habari zenu, Napenda kuwajulisha kuwa shamba lenye ukubwa wa ekari 20 linauzwa hapa manyoni likiwa na miche yake ya korosho lina jumla ya miche 900 na zaid na tayari lina uzao wa kwanza...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Price: TZS 13,000,000 Toyota VOLTZ - DLP Facilities and specifications - Km 119,000-Imported with 109,000 KMs (Rarely driven in Tanzania) -New tyres installed Nov 2019 -music system -Smart...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF naomba kujua sehem ambayo naweza pata mteja wa asali kwa hapa dar es salaam awe ni individual au ni company. Nataka kuleta asali kutoka mikoani na kuiuza hapa Dar, ningependa kwa yoyote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana Jf! Kuna wazee wamenifuata nyumbani kuomba ushauri kuhusu swala lao linalohusiana na ardhi ambayo walimuuzia mtu ambaye inasemekana ni mwekezaji miaka saba iliyopita. Wazee hawa wako...
0 Reactions
7 Replies
780 Views
Ndugu wanagroup poleni na majukumu, kwa mtu yeyote alioko Mkoa wa Arusha na unaitaji uduma ya kuangulisha mayai karibu sana tumeanza rasmi mwezi huu wa pili. Kwa mahitaji ya vifaranga pia...
0 Reactions
1 Replies
996 Views
Zamani kwa Tsh. 500 nilikuwa napata 70MB. Lakini sasa leo nimeamka nimekuta haya maajabu kwenye menu ya Tigo Tsh 500: 300MB Tsh 1000: 750MB Tsh 2000: 3GB Tafadhali sana Tigo, hata kama kuna...
11 Reactions
207 Replies
19K Views
Nauza laini yangu ya uwakala ya tigopesa imeshasajiliwa kwa finger print yangu.Laini iko sawa na inarudisha kamisheni vizuri.Aliye serious anicheki 0714-796778 au whatsapp 0628-615685, bei ni sh...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
BMW mpya haijatumika sana,nyaraka halali za umiliki zote zipo. AINA YA GARI:BMW 116i LOCATION; Dar es salaam REG NO; T 676 DME cc:1590, 4 cylinder Mwaka:2006 BEI;23.5million MAWASILIANO...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Natengeneza na kuuza bracelet za Uru kwa bei rafiki ya shs. 125,000 tu. Utawekewa jiwe (gemstone) lolote unalotaka na uzi wa rangi ya chaguo lako. Vaa bracelet ya kijanja na muonekano maridadi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
USISAHAU MAMBO HAYA. MWANDISHI. Robert Heriel. HATIMILIKI@2019 TAIKON PUBLISHER. Maandishi ya Robert Heriel Kwa Lugha ya Kiswahili. UTANGULIZI Kitabu hiki ni zawadi kwa watu wote. Kitabu hiki ni...
1 Reactions
0 Replies
861 Views
Kama kichwa kinavyoeleza, Mimi ni mjasiriamali mdogo, Nataka kuanzisha biashara hvyo nahitaj friji la mtumba {mtumba wa nje ndiyo bora zaidi} kwa ajili ya kufanya biashara. Lisiwe limechonolewa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Used for 3 months, In a very good condition as new Price - 550000 Contacts - 0684910695, 0659426390 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa wanaohitaji huduma ya Kuprint -T-shirt -Bussiness cards, -Bronchure -Delivery books -Orderbook -Mifuko Kwa Haraka pia Tunafanya Graphics Designing Tuwasiliane kwa number 0688121308 Ofisi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Je unajenga au unahitaji kuweka aluminium kwenye yako. Tunatengeneza na kufunga aluminium kwa bei nafuu. Unaweza kutuita tukakupigia gharama za vifaa ukanunua vifaa tukakutengenezea hapo hapo site...
1 Reactions
25 Replies
48K Views
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza nafasi za kujiunga katika Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) kwa mwaka 2020. Sifa za Mwombaji ni mwananchi yeyote mwenye nia ya kupata ujuzi na...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Nahitaji its old model au Nissan March mwaka 2003+,Cc 990 au 1290, namba iwe kuanzia D, offer yangu ni milioni 5.0 hadi 5.3 Tsh. Muuzaji awe mmilili asiwe Dalali. Contact 0744 735852
1 Reactions
0 Replies
844 Views
Nimevutiwa na aina hii ya bajaji inaitwa maxima Z kwamba inaweza beba abiria mpaka sita Nataka kujua zinapatikana wapi ,na je ubora wake ukoje pamoja na bei zake. Sent using Jamii Forums...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom