Weka Bei na details zingineWanajamvi,Nina duka linaitwa Agricultural Equipments (AgreQ)Lipo maeneo ya ILALA AMANA,tunashughulika na kusupply drip Irrigation pipes kwa zote ambazo zina ready matunde na zile za kuweka matundu Manually,pia tunazo na viunganishi vyake,0655008486 KARIBUNI
Unene wa pipe 16mm una maanisha nini?Drip pipe zenye Matundu teari zinauzwa tsh 600 kwa meter na Roller moja ina meter 1500,unene wa pipe 16mm
Mfano shina kwa shina cm 60 na tuta kwa tuta metre 1Kwenye pipes inategemea na Aina ya kilimo unachotaka kulima na spacing yake kutoka Mstari kwenda mstari,ndipo utajua eka moja itaingia Roller ngapi,sasa nijue wewe spacing yako itakuwaje?
Itakuwa ni wastani wa meter za Pipe 2500 kwa heka mojaUnene wa pipe 16mm una maanisha nini?
Nashauri ,ijue vizuri biashara unaoyoifanya hasa technical issue
Mfano shina kwa shina cm 60 na tuta kwa tuta metre 1
Ambapo gharama za jumla ni sh ngapiItakuwa ni wastani wa meter za Pipe 2500 kwa heka moja
Unene wa 16mm,Mkuu hapo tunazungumzia diameter,(circumference of a circle)nilikosa neno zuri la kiswahili la kulieleza hilo.Unene wa pipe 16mm una maanisha nini?
Nashauri ,ijue vizuri biashara unaoyoifanya hasa technical issue
OK ungesema mzunguko Ni 16mm , or diameter ,Unene wa 16mm,Mkuu hapo tunazungumzia diameter,(circumference of a circle)nilikosa neno zuri la kiswahili la kulieleza hilo.
Gharama za Roller mbili zitasima kwa 1.5m ila ukija basi ntakupa punguzo mkuuAmbapo gharama za jumla ni sh ngapi
Am sorry nimekusudia 1.8 mGharama za Roller mbili zitasima kwa 1.5m ila ukija basi ntakupa punguzo mkuu