Tangazo la chuo.
chuo cha ununuzi na ugavi kilichopo chanika kinatangaza nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne katika kozi zifutatazo-
1. VETA business operation assistant
Sifa...
>>>> LIJUE TATIZO HILI HATARI LA UMEME LINALOITWA VOLTAGE SURGE LINALOWEZA KUSABABISHA MADHARA MAKUBWA NYUMBA UNAYO ISHI AU OFFISINI UNAPOFANYIA KAZI
Inaandikwa na TWALEEB BIN AUF
NINI MAANA YA...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleleza. Natafuta frame kwa ajili ya kuanzisha SALOON ya KIUME. Frame iwe dar es salaam na iwe maeneo yaliyochangamka zaidi kama barabarani au mitaa yenye watu...
StarX inch 32, Tsh 270,000/=
Samsung Galaxy J7 prime duos, Tsh 220,000/=
Subwoofer Sea piano, Tsh 80,000/=
King'amuzi startimes Tsh 50,000/=
Stand ya Tv Tsh 30,000/=
Vyote bado viko katika...
Mashine ya kukamulia juice ya miwa ni bei gani nahitaji na tips za kufata kwa ajili ya kufungua juice point nikipata mwalimu au mtu anayeweza kutengeneza juice nzuri tunaweza kuungana kufanya...
Wakuu,
Nawasalimu naamini hapa jamii forum ni mahali amabapo naweza kupata information ya kutosha. Kama kichwa cha habari hapo juu nahitaji mashine ya kuprint Tshirt ambayo inatumia karatasi. Kwa...
UPDATE
7/10/2019
Mashine za kutengeneza mkaa kwa mkono zinatengenrzwa na kuuzwa.
Hizi ni maalumu kwa wanaotaka kuingia katika biashara hii ya kutengeneza mkaa wa kisasa bila kuwa na risk kubwa...
Habari wadau!!
Tunauza mchele kutoka mbeya kwa bei ya jumla. pia tunachukuwa tender za kusupply/kusambaza katika taasisi mbalimbali,kama vile mashuleni, vyuoni na sehemu yoyote inayohitaji bidhaa...
Habari za majukumu.
Nauza AC ni nzima kabisa unakuja kukagua ikiwa haijafunguliwa ukiridhika unalipia unafungua unabeba
Nauza sababu nahama napoishi na baadhi ya vitu sitakuwa na uhitaji navyo...
Pata mabati bora ya rangi na vigae imara kwa bei nafuu na usafirishiwe bure mpaka site.
KARIBU SANA
CALL: 0689620044
TABATA SEGEREA, DAR ES SALAAM
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wanajamvi, bila shaka kichwa cha habari hapo juu kimeshajieleza.
Mimi ni mfanyabiashara, nina gunia 20 za vitunguu swaumu sasa kwa yeyote anayefahamu soko zuri la bidhaa hii naomba...
Nauza kitanda kizuri cha kisasa kimetumika ila bado kina hali nzuri sana. Size ni 5 kwa 6 na kipo Tegeta Kibo, DSM
Mawasiliano 0683-796778 - bei inapoa kidogo.
Naitaji Desktop Mpya yenye Specifications za kisasa kabisa na window 10 genuine.
Kioo cha inch 14
CPU i7
Microsoft Office
DVD room
Ram 8gm
Kwa mtu yeyote mwenye nayo ani- DM
Habari zenu wakuu?
Nina mafundi wazuri na wazoefu wa kufanya skimming na hatimaye rangi kwenye nyumba/jengo na pia nina fundi wa tiles.Wote wana uzoefu wa zaidi ya miaka 10.Wanapatikana Tanga...