Chuo cha ununuzi na ugavi (IPS) chanika

ribussama

Member
Dec 11, 2016
94
42
Tangazo la chuo.

chuo cha ununuzi na ugavi kilichopo chanika kinatangaza nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne katika kozi zifutatazo-
1. VETA business operation assistant
Sifa awe amehitimu kidato cha nne na mwenye ufaulu kuanzia pass moja, mbili na tatu. Yaani alama ya D kuanzia moja.

2. Certificate in procurement and Supply.
Sifa za mwombaji awe amehitimu kidato cha nne na passes kuanzia nne na kuendelea yaani mwenye D nne.

3. Diploma in procurement and supply
sifa za mwombaji awe amemaliza kidato cha sita na mwenye principle moja. Au certificate

Kwa mawasiliano zaidi piga number 0718476238. 0718227777. 0714445399
 
Habari za asubuh wapendwa mm ni mwanafunzi wa kidato cha nne nnaesoma biashara hivi ni kozi gan ya biashara iloyokuwa demanded nchini na chuo bora kusomea wap
 
Back
Top Bottom