Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 624
- 548
UPDATE
7/10/2019
7/10/2019
Mashine za kutengeneza mkaa kwa mkono zinatengenrzwa na kuuzwa.
Hizi ni maalumu kwa wanaotaka kuingia katika biashara hii ya kutengeneza mkaa wa kisasa bila kuwa na risk kubwa lkn pia bila kuanza na mtaji mkubwa. Hii ni nzuri na inawafaa wanafunzi wa vyuo, sekondari, akinamama,vijana au mtu yeyote anayetaka jiingizia kipato sasa.
Hiki kibao hakitumii umeme katika utengenezaji, unatumia tu ngivu zako yaani manual ktk ku press. Ukinunua tunakupa mafunzo ya vitendo jinsi ya kutengenexa mkaa. Mkaa umaotengeneza ni viisi ambavyo vimakuwa tayari kupanga katika jiko na kupikia. hakuna haja ya kupasua pasua mapisi makkubwa ili yaeeze kutosheleza ktk jiko.
Na mkaa huu unaweza ufanya kibiashara ya kisasa yaani ukishautengeneza inabidi upaki kisasa ktk packaging za size mbalimbali na kuuza supermarket, maduks ya mtaani, mashuleni au magetezani yaani sehrmu yoyote wanspotumia mksa kupikis ikiwamo baa na migahawa



Hii ni baadhi ya wajasiriamali wengine wanavyofanya packaging na kuuzamadukani
Bei ya kibao hiki ns mafunzo ni tsh 100,000. Bei hii haipungui..
Kwa maelezo zaidi 0758 308193