Upatikanaji wa mashine za kuprint Tshirt (Heat Press Machine)

LastCall

Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
22
Reaction score
8
Wakuu,
Nawasalimu naamini hapa jamii forum ni mahali amabapo naweza kupata information ya kutosha. Kama kichwa cha habari hapo juu nahitaji mashine ya kuprint Tshirt ambayo inatumia karatasi. Kwa maana ya transfer paper na sublimation INK. Pia ningependa kujua kujua upatikanaji wa wino na printer ipi nzuri inayoweza kuprint A4 na A3.

Mahitaji ni kama ifuatavyo:-
1. One heavy duty heat press machine
2. Ink JET PRINTER
3. Upatikanaji was transfer papers both A4 na A3
4. Computerized Embroidery Machine ( Especially Brother)
Mwenye Idea ya upatikanaji wa hivo vitu kwa hapa Tanzania
 
Tanzania sahau, labda awenayo mtu ambayo ni used, hususan Computerized Embroidery Machine.

Nakushauri ingia mtandaoni uagize kutoka nje tu.
 
Tanzania sahau, labda awe nayo mtu abayo ni used, hususan Computerized Embroidery Machine.

Nakushauri ingia mtandaoni uagize kutoka nje tu.

Asante Kwa ushauri nimejaribu kuangalia mtandaoni nyingi zinapatikana USA. Wasiwasi wangu ni kuwa naweza agiza lakini pindi itakapovunja hata sindano tu inakuwa issue
 
Mkuu heat press machine zinapatikana kenya tena zenye connection ya vikombe, sahani, na kofia.., ila kama haujapata hivyo hii isikusababishe usifanye kazi sababu hata pasi inafanya kazi..

Transfer paper zitakuwepo karibia kila mkoa ukizingatia t shirt za misiba siku hizi zina picha (nadhani anywhere from 1500 mpaka elfu nne)

Printer ya ku-print transfer paper ni printer ya kawaida tu inkjet ila nakushauri nunua epson printer yenye CISS angalia budget yako nadhani p50 na p660 hazipo siku hizi zilikuwa mashine nzuri sana ila sasa hivi kuna t50 ambayo ni kama p50 ingawa epson wametoa l800 (yenye mitungi ya nje) nadhani hii ni laki nane ila sijui utendaji kazi wake.., hii l800 unaweza kuipata Dar ingawa kwa bei nzuri zaidi hiyo t50 nadhani Nairobi ni cheaper..

Wino wa dye ink upo karibia kila mkoa ila wa sublimation kutokana na matumizi sio mengi mwingi utakuwepo Nairobi (ila kumbuka sublimation inks inatua transfer paper tofauti ambayo ni cheaper kuliko hizi nyingine ila wino wake ni bei kubwa zaidi alafu haifanyi kazi kwenye 100% cotton.., inapendeza zaidi kwenye polyester, au mats au sahani n.k,) la ukitumia hio sublimation kwenye polyester haitoki hata ukifua tofauti na hizi transfer nyingine za dye inks...

Embroidery machine angalia mtandaoni as well as budget yako, usisubiri mpaka upate mashine zote ndio uanze unaweza ukaanza na vidogo ukipata order za embroidery una-outsource unafanyia pengine wakati unakusanya nguvu na kufanya research zaidi.., pia since ukitaka kweli kuwa kwenye printing usisahau pia screen printing sababu kazi nyingi unafanya mixer kama ni maneno unatumia screen printing alafu picha unatumia transfer...

Ni hayo tu sio kwamba nipo kwenye printing business.., but I just happen to know...
 
naweza kumletea hizo machine P50 na px660
 
Wakuu,
Nawasalimu naamini hapa jamii forum ni mahali amabapo naweza kupata information ya kutosha. Kama kichwa cha habari hapo juu nahitaji mashine ya kuprint Tshirt ambayo inatumia karatasi. Kwa maana ya transfer paper na sublimation INK. Pia ningependa kujua kujua upatikanaji wa wino na printer ipi nzuri inayoweza kuprint A4 na A3.

Mahitaji ni kama ifuatavyo:-
1. One heavy duty heat press machine
2. Ink JET PRINTER
3. Upatikanaji was transfer papers both A4 na A3
4. Computerized Embroidery Machine ( Especially Brother)
Mwenye Idea ya upatikanaji wa hivo vitu kwa hapa Tanzania
Ukihitaji epson p50 ama px660 nijulishe
 
Mimi nataka ya kuprint jezi. Msaada

Mkuu Jerseys mara nyingi ukitaka kuwa unaprint kwa gharama nafuu na quality nzuri unatumia Screen Printing, mashine ambayo unaweza ukajitengenezea mwenyewe (yaani ni flame tu ya kawaida ambayo inakuwa na Mesh) ukishaitengeneza ni kwamba inakuwa kama stencil (ina sehemu inayopitisha wino na sehemu isiyopitisha wino kwahio ni kuweka tu tshirt kwenye meza au kitu kigumu, kuweka frame yako juu na kupitisha rangi kwa juu..

Quality tofauti na aina tofauti inategemea ni wino gani umetumika, na kama picha ina rangi mbili unakuwa na frames za rangi tofauti

How Does T-shirt Screen Printing Work? | eHow
 
Kuna kitu huwa kinanitatanisha sana. Kuna mahali nimekuta wanaprint karatasi kwa tsh 100/= kwa page. Wakati stationery nyingi wanaprint kwa wastani wa Tsh 500/= kwa page. Nimeshindwa kujua why kuna tofauti kubwa sana ya bei? Ni aina ya printer, cartilage au profit matter?
 
Kuprint artworks kwa ajili ya heat press ni kweli unahitaji inkjet printer, lakini si kila inkjet printer itakupa matokeo mazuri, hakikisha unatumia printer za epson zinazotumia DURABrite ultra ink kama unahitaji kazi zako zidumu bila kupauka haraka.
 
Kuna kitu huwa kinanitatanisha sana. Kuna mahali nimekuta wanaprint karatasi kwa tsh 100/= kwa page. Wakati stationery nyingi wanaprint kwa wastani wa Tsh 500/= kwa page. Nimeshindwa kujua why kuna tofauti kubwa sana ya bei? Ni aina ya printer, cartilage au profit matter?
Hapo ni akili tu ya biashara, naweza kusema ni profit matter. Huyu anaeprint kwa tsh 100 anakua anaingia faida kubwa kuliko huyo anayeprint kwa tsh 500, inahitaji kufanya kazi nyingi kwa reasonable price ili kupata faida kubwa. We unaprint kwa sh 500 halafu kwa siku nzima unaprint karatasi 5 tu, wakati mwenzako anaprint kwa sh 100 lakini kwa siku hakosi kuprint karatasi chini ya 500. Angalia stationary zote zinazozunguka vyuo au hostels za vyuo kama pale mabibo au miburani.
 
Mh...natamani nikupe namba yangu ya simu,but nooooo! Kimsingi juzijuzi nimeuza full pakej kit,na eote muda wowote ukitaka nakuagizia tu fasta,risk kwangu,kikubwa unanipa 15% but vyooooote hivyo yani io ink jet printer,heat press ya A3,n.k havizdcbajet ya 1m,pia apo unapata na trabsfer pepa za kuanzia kazi....daaa pole,just pm ur number labda naeza kutana nawe
 
Mh ata mimi kama unaweza poa,nipe kamisheni nakuagizia haizid 28 days tutachukua mzgo wetu,kamisheni tunaelewana tu,chochote ukitaka agiza...mm ndio nabeba dhamana na ndio nafanya manunuzi 0713 430 630,
 
Wasiliana na mtc Heattransfer dubai wanazo. Tatizo uzito tu.
 
Back
Top Bottom