Mchele Super wa Mbeya kwa bei rahisi sana

Joselela

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
5,918
7,618
Habari wadau!!

Tunauza mchele kutoka mbeya kwa bei ya jumla. pia tunachukuwa tender za kusupply/kusambaza katika taasisi mbalimbali,kama vile mashuleni, vyuoni na sehemu yoyote inayohitaji bidhaa yetu.



UPDATE
1KG 1700
20KG 34,000
1Tan 1,700,000


20Kg usafiri 10,000 sehemu yeyote ya Tanzania.
1Tan usafiri 120000

Pia natuma Uganda,Kenya na Rwanda.

Napokea Order kubwa pia.

Mawasiliano:piga 0759281088 au sms 0788643144

 
mbeya 1800 mbna huku Dar wanauza hivyo hivyo
Inadepend na grade ya mchele wenyewe..
1.Utakuta mwingine una chengachenga na mawe..

2.radha mdomoñi,mwingine mbaya utadhani unakula vumbi.

3.unavutia hata kwa macho unaweza tamani uanze kuula hapo hapo ni super kweli kweli.
 
Habari wadau!!

Tunauza mchele kutoka mbeya kwa bei ya jumla. pia tunachukuwa tender za kusupply/kusambaza katika taasisi mbalimbali,kama vile mashuleni, vyuoni na sehemu yoyote inayohitaji bidhaa yetu.



UPDATE
1KG 1450-1650
20KG 29,000-33,000
1Tan 1,450,000-1,650,000


20Kg usafiri 8000 sehemu yeyote ya Tanzania.
1Tan usafiri 120000


Mawasiliano:0788643144

Sasa ntajuaje bei ya mchele husika, maana umeweka bei mbili tofauti, mfn.1KG 1450-1650, ntajuaje kama nikiagiza wa 1650, ndo utakao tuma badala ya wa 1450?
 
Back
Top Bottom