Natafuta frame kwa ajili ya saloon ya kiume hapa Dar es Salaam

Idrisa1510

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
248
500
Kama kichwa cha habari kinavyojieleleza. Natafuta frame kwa ajili ya kuanzisha SALOON ya KIUME. Frame iwe dar es salaam na iwe maeneo yaliyochangamka zaidi kama barabarani au mitaa yenye watu wengi.

Offer yangu ni Tsh 50,000 kwa mwezi na nitakua tayali kulipia kwa miezi tutakayo kubaliana. Mwenye frame au kama utakua na connection na mtu mwenye nayo naomba uni PM au Whatsapp Tu Kwa namba hii 0743534388.

NB:- Usipige kwa namba hiyo maana haiko hewani, inapatikana kwa Whatsapp tu.

Tangazo litakua valid mpaka ifikapo tarehe 12

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ngadu01

JF-Expert Member
May 4, 2016
506
1,000
Kajaribu kubiti pwani mkuu hapa dar kwa bei hiyo naona kama unasubiri pantoni ubungo
 

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
4,507
2,000
Mleta mada unajua thamani ya ardhi kwa Dar? Unajua bei ya tofali,simenti,bati nk..?
Nakushauri njoo huku Koromije utapata kwa chini ya 50K kwa mwezi.
 

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,492
2,000
Anapata kabisa Frem za 50k zipo nyingi ninazo aseme yupo maeneo gani ili atafutiwe frem ya karibu.Ila haitokuwa kwny zile barabara km Mandela,Kawawa n.k Frem za 50k ni karibu na barabara za mitaa zile za vumbi ,kokoto,na kwa biashara yake panafa sana.
Barabara kuu kama Mandela road Frem ziananzia 250,000/=kwa mwezi na kuendelea.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom