Hujaiwekea maelezo ya kutosha...kun wengine tuna uhitaji piaChukua hiyo hapo
200k
View attachment 1419398View attachment 1419399
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuomba PM na maelezo zaidi mkuuHizo nymba ziko nyingi lakini bila dalali hupati.
Zipo nyingi Bunju lakini kama apartmaent, hivyo hazina privacy na wakati mwingine zipo karibukarbibu mno.
Ukitaka tu apartment zenye hizo sifa, kilo moja yangu, weekend unahamia kwa kodi ya laki mbili kwa miezi mitatumitatu
Nakuomba PM na maelezo zaidi mkuu
Asante sana mkuuOk, panda gari ya bunju. kabla ya bunju B stand/senta kuna kituo kinaitwa kwa baharia.
Shuka hapo vuka barabara kama umetokea mjini. Nenda sehemu wanafyatua tofali muulizie dalali Zizu. Huwa hakai pale lakini wale watakuelekeza alipo. Uwe specific kuwa unahitaji apartment karibu na secondary ya Destiny, si mbali atakupeleka.
Zizu kama yupo mbali, ulizia Hassan anayenyoa kipara, kweli ukimuona hana nywele.