Mafundi wa tiles na skimming/rangi wanatafuta kazi.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,155
13,378
Habari zenu wakuu?
Nina mafundi wazuri na wazoefu wa kufanya skimming na hatimaye rangi kwenye nyumba/jengo na pia nina fundi wa tiles.Wote wana uzoefu wa zaidi ya miaka 10.Wanapatikana Tanga mjini ila wanaweza kufanya kazi popote pale Tz.
Mawasiliano na fundi ni 0787140432.

Tuwasaidie kupata kazi hawa ndugu zetu.
 
Back
Top Bottom