Habari za majukumu wadau.
Nahtaji TV Showcase iliyo katika kiwango kizuri, iwe ya mbao na bajeti yangu ni Tsh. 90k.
Ipo mfuko wa shati hapa kama ipo nichek kwa namba hii 0768069716 chap!
Kwa mahitaji ya spea za malori ya kichina Faw na Howo aina zote kwa wanunuzi wa jumla na rejareja wasiliana nasi au tutembelee
Tupo Ilala, Dar es salaam
Mikoani tunatuma
Piga:0738837682
Karibuni...
Tunatengeneza Business Card aina zote, logo, vitabu vya risiti, kava za vitabu na mabango makubwa ya biashara kisha unatumiwa kwenye email yako au WhatsApp popote ulipo itakufikia.
Unatuma SMS...
Nauza Samsung LED 40 " Television UA40H5100AR.
Hii TV nilinunua mwaka 2016 kwa laki 9 elfu 60 enzi hizo.
Nauza kwa laki 5 tu.
Ipo Mbweni JKT, Dar.
Wasiliana Whatsapp 0625536529
Samsung...
Habari za jumapili, wanajukwaa poleni na mvua zinazoendelea, naenda straight to the point Nina plan ya kununua BODA BODA,mpya aina ya Sunlg,hachue,ila mpaka Sasa nimesave 1million,ila naomba kujua...
Habari za asubuhi wana jf?
Nauza maziwa fresh. Lita 5 shilingi 10,000. Ikiwa zaidi ya lita 10 tunaweza kupunguza bei.
Maziwa ni mazuri, hatuchanganyi maji hata kidogo na ng'ombe wanatibiwa na...
Habari za asubuhi wanajamii forum wenzangu, nina swali nataka niulize nina projector aina ya sony 3LCD nataka niuze ila sijajua thamani yake.
Kama kuna yeyote anayejua bei za projector aniambie...
Iwe gari kati ya Rav 4 new model old au Haria new model au tupia gari lolote ambalo unataka kusukuma upate hela ya fasta
Liwe namba D njoo PM
NB: Madalali please msiniwekee maneno yenu ya...
Ni Mayai ya kienyeji kabisa na yenye ubora wa hali ya juu ,njoo ujipatie au weka order yako bei ni Tsh. 12,000/=(Trei ya Mayai 30)
Ukihitaji utaletewa mpaka mlangoni.
TUNAPO SEMA NI MAYAI YA...
Wakuu, kama uko na Local mines au Trading Company ambayo ina deal na Madini tajwa hapo juu....nijulishe tufanye Biashara tafadhari!
Njoo PM kwa Information zaidi...!
Wauzaji wa pochi mpya zenye watoto kuanzia sh elfu 40 tuu. Tunapatikana Tegeta Dar na popote tunadeliver. Ukihitaji tupigie/whatsapp 0714 191 429.
Picha za pochi zitapostiwa kadiri thread...
Kiwanja ni kizuri kwa matumizi ya makazi
Eneo kilipo: bunju B
Umiliki: kina hati
Ukubwa: 1048 square metre
ziada: kimezungushiwa ukuta
Price; milioni 30 (maelewano kidogo yapo )
Mawasiliano...
Tunauza SABUNI ZA KUNAWIA MIKONO (handwash),za KUOGEA , SANITIZER, SABUNI ZA MICHE ZA KUFULIA na SHAMPOOO Tunapatikana Kariakooo daresalaam .mikoani tunatuma kwa order ya jumla ....whatsaap...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.