Natafuta soko la Vitunguu Swaumu

Natafuta soko la Vitunguu Swaumu

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,147
Reaction score
1,851
Habari zenu wanajamvi, bila shaka kichwa cha habari hapo juu kimeshajieleza.

Mimi ni mfanyabiashara, nina gunia 20 za vitunguu swaumu sasa kwa yeyote anayefahamu soko zuri la bidhaa hii naomba ani inbox jamani

Nitatoa kamisheni kidogo kwa atakayenitafutia soko.

Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom