INAUZWA Nauza AC, ni nzima kabisa unakuja kukagua ikiwa haijafunguliwa ukiridhika unalipia

DJ Imma

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
221
100
Habari za majukumu.

Nauza AC ni nzima kabisa unakuja kukagua ikiwa haijafunguliwa ukiridhika unalipia unafungua unabeba

Nauza sababu nahama napoishi na baadhi ya vitu sitakuwa na uhitaji navyo tena,

Pia nauza na Mziki Kwa ajili ya matumizi ya sherehe mbali mbali na matamasha

Napatikana Majumba 6 Dar es Salaam

Kwa picha zaidi na maelezo tuwasiliane.

0658644485
AC ni 350,000 tu

IMG_20200413_122233_3.jpg
IMG_20200413_122213_0.jpg
IMG_20200413_122233_3.jpg
IMG_20200413_122319_3.jpg
 
Umeuliza b2 ngapi?? sasa unataka kujua idadi au bei?? but nilijua umeuliza mic aina ya B2 maana nauza piaaaha ha haaaaa

AC ni hp 1.4 (moja na robo)
Saf mkuu true ww ni mfanyabiashara hujareact wala nn ktk kutujibu wateja wako saf kwa kujua behaviour zetu wateja wako utauza soon inshaallah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom