Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama bango linavyojieleza, piece 100,000 za mask zinazoziba pua na mdomo zinahitajika haraka. Kama unazo nicheki PM biashara ifanyike. Niko Dar es salaam
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Msaada wadau, Natafuta magunia (viloba) kwa ajili ya kuwekea mazao. Hasa yale ya 100kg kwa bei ya jumla. Mwenye kujua bei. Navitaka hapa kwetu Sumbawanga. Asanteni. Tuma Meseji 0620 484 081...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Sijawahi kununua friji, haya mambo ya corona sasa yananilazimisha. Naomba maelekezo, aina zipi za friji ni nzuri na naweza kupata mojawapo duka gani Kariakoo kwa bei nafuu? TZS ngapi?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
nauza mashine ya kukamua juice ya miwa sh laki 5 ipo katika hali nzuri location chanika Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari nahitaji air compressor na car washer machine kwa ajiri ya biashara naomba ushauri ni aina gani itanifaa kwa ajili ya biashara
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za jioni mabibi na mabwana. Matumaini yangu mko salama salmin. Ninaleta kwenu hizi dumbbells zangu ninazoziuza. Sifa: 1. Ni pair moja ya dumbbells branded 2. Ni adjustable, unaweza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu Nauza kiwanja kipo chanika buyuni block 25 Kiwanja kina ukubwa wa sqm 316 Kimepimwa kina hati Urefu:30 Upana:10.5 Bei 2m maelewano Nb gharama za serikal ya mtaa unalipa wewe...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
T500 Smart Watch[emoji403] [emoji91]Bei = elfu 95 tu fixed [emoji91] [emoji338]0713358355 [emoji828]️inatumika kwa Iphones &Android phones [emoji390] [emoji828]️can make & receive Calls...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
NYUMBA INAUZWA. MAELEZO Ni nyumba mbili ndani ya compound moja Moja ina vyumba vitatu na nyingine vyumba viwili. Pia zina: -sitting -dining -public toilet UKUBWA sqm400 DOCUMENTS Leseni ya...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Nipo Mkoani Arusha. Nahitaji Barakoa kwa ajili ya watumishi wa kampuni yetu. Wapi nitazipata? Nimemtuma kijana, amesema maduka yote makubwa hakuna barakoa. Msaada tafadhali Sent using Jamii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza kitanda cha mbao na godoro lake vyote kwa pamoja kwa 160,000 Kitanda ni mbao na ukubwa wake ni 5*6 Location: Riverside, Ubungo Contacts: 0693855083 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji kiwanja maeneo ya ununio, bahari beach, mbweni JKT au goba(karibu na barabara) kiwanja kiwe kinaanzia Sqm 1000 budget ni 40m kiwanja kiwe kina hati pm kama unacho
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello, Guys, Hope y'all doing well, even in this hard time where everyone is struggling against covid-19 disaster, but we believe this too shall pass. Let me shoot straight to the main point of...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Yanapatikana kwenye vifuko kwa ng' ombe No. 0693 651136
1 Reactions
21 Replies
2K Views
itel Mobile ilianzishwa mwaka 2007 jijini Hong Kong nchini China kwa kutambua kiu ya wateja ya kuunganishwa kimawasiliano Duniani. Kwa kutumia Falsafa yetu ya "Join · Enjoy", tunafurahi kumpa...
4 Reactions
60 Replies
14K Views
Kwa mahitaji ya raman za nyumba zilizobora kabisa nicheck whasapp/=0718-892233 or call me sehemu/ mkoa wowote tunafanya kazi
0 Reactions
60 Replies
21K Views
Mradi Mpya wa Viwanja Dar es Salaam!! Location/Eneo: Madale Mivumoni (Nyuma ya shule ya atlas madale campus) Distance/Umbali: 1.5 km kutoka barabara ya rami Price/Bei: Tsh 25,000 kwa sqm...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wakazi wa Arusha na maeneo ya jirani kama vile Boma, Moshi, Monduli na Karatu. Kuna biashara nzuri ya Asali kutoka Tabora.. Dumu la lita 20 linauzwa 145,000/= Serious Buyers inbox me.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni wauzaji na wasambazaji wa chakula bora cha mifugo, wanachakula cha Ng'ombe, hiki hunenepesha ng'ombe wako na kuongeza lita ya maziwa. Chakula cha nguruwe, kuanzia watoto wa wadogo, mwenye...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wadau, Kwa yeyote mwenye idea ya mtu mtu yeyote au kampuni yeyote that’s needs waste/ crude oil kwaajili ya kuendeshea mitambo mikubwa mikubwa tafadhari tuwasiliane natanguliza shukrani...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…