Safi unapambana ila umeweka bei ndogo
Huwezi kuyapata kwnza wewe una bei ya chini sana maana gram mmoja ndiyo inauzwa kwa 35000 na siyo kilo
uyu mgeni wa hii biasharaGall stone unasema kg!! Wakati huuzwa kwa g mzee
Na bei hiyo hata g yenyewe hupati
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa anafanya biashara bila kutafiti asee... hatariuyu mgeni wa hii biashara
[emoji41][emoji41]duh,sasa hii si dili zaidi hata ya dhahabu,maana gram moja kwenye jiwe dogo tu unaweza kuta lina gram 80.Huwezi kuyapata kwnza wewe una bei ya chini sana maana gram mmoja ndiyo inauzwa kwa 35000 na siyo kilo
Nani kakudanganya? Kwanza si kila ng'ombe ana hayo mawe unaweza chinja ng'ombe 50 mmoja tu ndiye akawa na hayo mawe tena unayaanika yana shrink na jiwe moja haliwez kuwa na hizo gram.[emoji41][emoji41]duh,sasa hii si dili zaidi hata ya dhahabu,maana gram moja kwenye jiwe dogo tu unaweza kuta lina gram 80.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanaongeza nguvu za kiume
Hizi habari Ni za kweli,? Kwamba mawe haya yanabei kiasi hicho. Maana naona hii nchi inaTanzanite kibao sema hatuzifahamu.Dau lako dogo sana, na hiyo bei ni kwa gram sio kg.. Gram 1 tu kwa hiyo bei yako hupati
ina maana ni jepesi kama pamba sio!!!!Nani kakudanganya? Kwanza si kila ng'ombe ana hayo mawe unaweza chinja ng'ombe 50 mmoja tu ndiye akawa na hayo mawe tena unayaanika yana shrink na jiwe moja haliwez kuwa na hizo gram.
mepesi sana ndugu na yakikauka maji yakatoka yanakuwa compact. yanatumika kwenye tiba ya kichina
inasemekana ni vumbi linalokusanywa na apendix ya ngombe.Sasa lina jitengeneza lenyewe tumboni kwa ng'ombe au analila akiwa anakula majani?