Nahitaji mask piece laki moja haraka

Nahitaji mask piece laki moja haraka

Rogart Ngaillo

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
933
Reaction score
1,971
Kama bango linavyojieleza, piece 100,000 za mask zinazoziba pua na mdomo zinahitajika haraka. Kama unazo nicheki PM biashara ifanyike.

Niko Dar es salaam
 
Kama bango linavyojieleza, piece 100,000 za mask zinazoziba pua na mdomo zinahitajika haraka. Kama unazo nicheki PM biashara ifanyike.

Niko Dar es salaam
Eleza mahitaji yako ziko mask za karatasi na zile za plastic mbele zinakitambaa ww unataka zipi au huelewi hitaji lako lilivyo una bahatishaa ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom