Natafuta barakoa jijini Arusha

Natafuta barakoa jijini Arusha

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
979
Nipo Mkoani Arusha. Nahitaji Barakoa kwa ajili ya watumishi wa kampuni yetu. Wapi nitazipata? Nimemtuma kijana, amesema maduka yote makubwa hakuna barakoa.

Msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kikaniki mtume kijana wako aende KCMC Hospitali,Moshi... Wanatengeneza wenyewe hapo hospitali, wanauza boksi moja lenye barakoa 50 kwa shilingi 100,000.
 
Nipo Mkoani Arusha. Nahitaji Barakoa kwa ajili ya watumishi wa kampuni yetu. Wapi nitazipata? Nimemtuma kijana, amesema maduka yote makubwa hakuna barakoa.

Msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Zahab Electricals:
OFA mask ya kuvalia usoni kujikinga na virusi ya KORONA

Pakti ya mask aina hizo :
1. pc 25 kwa bei 7,500/-
2. pc 20 kwa bei 7,500/-
3. pc 10 kwa bei 15,000/- inaweza kuosheka

Ukihitaji mikoani, tunakupelekea.

Sukutua na maji moto ya chumvi, kujikinga.

@ ZAHAB ELECTRICALS, Arusha
Mnara wa Mwenge, 0786 103 282. Rekodi hilo namba kwenye anwani zako, kupata whatsapp
 
Back
Top Bottom