Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Katika kipindi hiki cha janga la virusi vya CORONA (covid-19) tunafahamu sote mambo mengi yanaenda kidigitali(mtandaoni) zaidi hivyo utahitaji post zako ziwe za kuvutia kwa wafuasi na wateja wako...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau, Kuna kitanda cha mbao hapa chenye ukubwa wa 4× 6 kinauzwa Tsh. 80,000/= ila maongezi yapo bei inapungua tu usiogope. Hata kama upo mkoani unaweza ukatumiwa na ukakipata
1 Reactions
75 Replies
11K Views
Natafuta muuzaji wa jumla wa zabibu kavu pamoja na almond (ulozi) aliye Zanzibar. kwa sasa ninapata kwa mtu anayenunua toka huko sasa nataka nimtoe mtu wa kati niagizie moja kwa moja. PM kama...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
kitanda . Ukubwa 5*6 Kipya hakijapakwa polish/rangi na chaga zake bado hazijaunganishwa . godoro Comfy inch 6 limetumika kidogo <mwezi mmoja Bei ya vyote 150k (laki na nusu) napatikana dar...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
I phone 5s inauzwa...bei ni 170 ipo in a good condition GB 32 haina shida yoyote ilee LOCATION ni GOBA CENTER cont 0786774828
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Nahitaji machine ya A5 2017 tufanya biashara Nipo Dar tutafutane 0652682718 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Je ungependa kujenga kwa utaratibu wa ramani, basi usisite kunialika kuja site kuchukua vipimo na kukuandalia mchoro wa ramani kwa vipimo na kujua gharama za majenzi pia.
26 Reactions
365 Replies
165K Views
Kama bango linavyojieleza, piece 100,000 za mask zinazoziba pua na mdomo zinahitajika haraka. Kama unazo nicheki PM biashara ifanyike. Niko Dar es salaam
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Msaada wadau, Natafuta magunia (viloba) kwa ajili ya kuwekea mazao. Hasa yale ya 100kg kwa bei ya jumla. Mwenye kujua bei. Navitaka hapa kwetu Sumbawanga. Asanteni. Tuma Meseji 0620 484 081...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Sijawahi kununua friji, haya mambo ya corona sasa yananilazimisha. Naomba maelekezo, aina zipi za friji ni nzuri na naweza kupata mojawapo duka gani Kariakoo kwa bei nafuu? TZS ngapi?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
nauza mashine ya kukamua juice ya miwa sh laki 5 ipo katika hali nzuri location chanika Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari nahitaji air compressor na car washer machine kwa ajiri ya biashara naomba ushauri ni aina gani itanifaa kwa ajili ya biashara
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za jioni mabibi na mabwana. Matumaini yangu mko salama salmin. Ninaleta kwenu hizi dumbbells zangu ninazoziuza. Sifa: 1. Ni pair moja ya dumbbells branded 2. Ni adjustable, unaweza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu Nauza kiwanja kipo chanika buyuni block 25 Kiwanja kina ukubwa wa sqm 316 Kimepimwa kina hati Urefu:30 Upana:10.5 Bei 2m maelewano Nb gharama za serikal ya mtaa unalipa wewe...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
T500 Smart Watch[emoji403] [emoji91]Bei = elfu 95 tu fixed [emoji91] [emoji338]0713358355 [emoji828]️inatumika kwa Iphones &Android phones [emoji390] [emoji828]️can make & receive Calls...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
NYUMBA INAUZWA. MAELEZO Ni nyumba mbili ndani ya compound moja Moja ina vyumba vitatu na nyingine vyumba viwili. Pia zina: -sitting -dining -public toilet UKUBWA sqm400 DOCUMENTS Leseni ya...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Nipo Mkoani Arusha. Nahitaji Barakoa kwa ajili ya watumishi wa kampuni yetu. Wapi nitazipata? Nimemtuma kijana, amesema maduka yote makubwa hakuna barakoa. Msaada tafadhali Sent using Jamii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza kitanda cha mbao na godoro lake vyote kwa pamoja kwa 160,000 Kitanda ni mbao na ukubwa wake ni 5*6 Location: Riverside, Ubungo Contacts: 0693855083 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji kiwanja maeneo ya ununio, bahari beach, mbweni JKT au goba(karibu na barabara) kiwanja kiwe kinaanzia Sqm 1000 budget ni 40m kiwanja kiwe kina hati pm kama unacho
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello, Guys, Hope y'all doing well, even in this hard time where everyone is struggling against covid-19 disaster, but we believe this too shall pass. Let me shoot straight to the main point of...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom