Marenga Millers.co.Ltd

kiri12

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
376
250
Ni wauzaji na wasambazaji wa chakula bora cha mifugo, wanachakula cha Ng'ombe, hiki hunenepesha ng'ombe wako na kuongeza lita ya maziwa.

Chakula cha nguruwe, kuanzia watoto wa wadogo, mwenye mimba na anayenyonyesha, husaidia kuongeza kilo na kumfanya nguruwe awe imara wakati wa ujauzito wake na unyonyeshaji wa watoto, pia humuongezea kilo hadi kufikia kilo 100- 150.

Chakula cha samaki aina ya Tilapi ama sato, hukupa matokeo mazuri katika ufugaji wako wa samaki.

Chakula cha kuku wa mayai na nyama pia kipo

Karibuni sana, kwa sasa ofisi ipo Mbeya Mafiati wanatazamana na century plaza
 

Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
41,411
2,000
Hiki chakula chatengenezwa Moshi. Sio sahihi kutangaza chapatikana Mbeya wakati mawakala kibao wanauza.
Pia ungewawekea bei kabisa
 

kiri12

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
376
250
Mbeya imefunguliwa branch, na sijasema kama ndio tunatengeneza mie nauza.

Karibu ofisini uhudumiwe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom