TV used from zanzibar

TV used from zanzibar

kengeledoi

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
325
Reaction score
230
habari wakuu, naomba msaada kwa wadau waliopo zanzibar, kuna duka linaitwa Zanzibar Electronics wanauza TV bei nzuri sana nilitaka kujua kama kuna mtu aliwahi nunua kitu hapo please njoo PM.
 
habari wakuu, naomba msaada kwa wadau waliopo zanzibar, kuna duka linaitwa Zanzibar Electronics wanauza TV bei nzuri sana nilitaka kujua kama kuna mtu aliwahi nunua kitu hapo please njoo PM.
Mbona hata mbeya yapo... kitu mtumba from SA kinapitia border la wajanja Tunduma.. By the way ninamziki mmoja nilinunuaga pande zile dunia nzima wanaushangaa
 
Liko Zanzibar au bara
mkuu hili ndo tangazo lenyewe

Samsung 48 Inches LED FLAT SCREEN
500,000 TZS
Zanzibar Central/South | 21/08/2016

#zanzibar electronics agency
#we are on sale....get LED SAMSUNG FLAT SCREEN 48 inches only for 500.000 tshs
#one year warrant (mzigo umebaki kidogo)
#free delivery for those who are in Zanzibar
#walio nje na Zanzibar watalipa 40.000 zaidi
#kwa wale wanaoshindwa kuja dukani...unatumiwa mzigo baada ya malipo kwa uaminifu mkubwa na usalama
#kwa walio serious tu watuchek kwenye namba zetu
#NB SOMA TANGAZO KWA MAKINI KABLA HUJATUTAFUTA
 
Hata mie nauza hizo tv niko mkoani morogoro kwa mawasiliano piga 0713449460
 
Mara nyingi vitu vya mitumba vinakua bei chee vikiwa Zanzibar ila vikivuka maji tu vinapandishwa bei juu, jaribu kuwa mawasiliano na mtu alieko Zanzibar. Mimi ningejitolea kuwatumia kwa bei ya huku huku ila wabongo nyinyi siwaamini.
 
Na mimi naitaji Tv Samsung yenye king'amuzi (builty In)
 
Na mimi naitaji Tv Samsung yenye king'amuzi (builty In)
Nimeshawasafirishia watu wengi sana mizigo yao, na wengine huwa wanakuja wenyewe kisha nawatembeza madukani,
tv ya milioni moja na lakitatu Dar ila zanzibar unaipata kwa laki saba hadi nane
 
Duka langu liko morogoro mjini njia panda ya kilakala na kichangani
 
Waulize wapo maeneo gani na mtaa gani na karibu na sehem ipi maarufu.
Hayo majina yasikushugulishe sio kila mtu atapajua,kuna sehem huko Kibaigw akuna Mgahawa unaitwa Serena Hotel,sasa hapo utajiuliza mwenyewe
 
wazimaa?
eti Tv nchi 52 ya mtumba zanzbar nitapata kwa shilling ngapi?
 
Nimeshawasafirishia watu wengi sana mizigo yao, na wengine huwa wanakuja wenyewe kisha nawatembeza madukani,
tv ya milioni moja na lakitatu Dar ila zanzibar unaipata kwa laki saba hadi nane
Vipi kuhusu kodi hapo?
 
Back
Top Bottom