Natafuta mashine ya icecream

Natafuta mashine ya icecream

Joined
Jun 20, 2020
Posts
29
Reaction score
29
NATAFUTA MASHINE YA KUZALISHIA ICE CREAM IWE NI MPYA AU USED POPOTE NITAIFUTA..NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI KWENU
Screenshot_20201103-084029.png
 
NATAFUTA MASHINE YA KUZALISHIA ICE CREAM IWE NI MPYA AU USED POPOTE NITAIFUTA..NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI KWENUView attachment 1618470
Habari, Naitwa Daniel Senzia; kwa sasa makazi yangu yako South Africa nilikuja huku kama mwanafunzi na nikaona opportunities nyingi huku; nimefanikiwa kufungua biashara ya usafirishaji wa magari na mizigo mbali mbali kuja Tanzania. Dhumuni la kujitambulisha ni kuondoa shaka ya kwamba naweza kukutafutia hiyo mashine na kuileta kwako Tanzania. Nimefanya hii biashara kwa jumla ya miaka mitatu sasa na nimesalijiwa south africa pamoja na visa ya biashara ya kutoa mizigo nje ya nchi na ndani ya nchi. kwa uhakiki wako tupo instagram kwa jina la broadfield automotives na pia facebook, email yangu ni daniel@broadfieldgroup.co.za na ukihitaji namba zangu za simu DM nitakupatia na nikishakupatia utaweza nipata kwa whatsapp. Kama utakuwa bado unahitaji hii mashine usisite kunitafuta. Natanguliza Shukrani za dhati. Asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom