INAUZWA Blender aina ya Kenwood heavy duty zinauzwa bei poa

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,132
2,000
Husika na kichwa hapo Juu ninauza blender mpya kabisa aina ya Kenwood zenye uwezo wa kufanya kazi nzito yaani zinafanya kazi zote za kusaga vitu vikavu na vilaini inasaga Hadi unga yaani nafaka za aina zote

Kwa wale wanaotengeneza Juice hii Blender inapiga kazi hutojutia kununua

Specification
Ina watts 3,000
Ina jag la ukubwa wa Lita mbili
Inauwezo wa kusaga viungo, na nafaka za aina zote
Inasaga Juice kwa haraka sana
Inapiga kazi Sana nimeshindwa ku upload video Yake hapa kuona jinsi inavofanya kazi ila kwa anaetaka kuona video just check me kwa WhatsApp 0763772636 nitakuonyesha
Garama Yake Ni nafuuu Sana
Sh 145,000 tu
Kwa anaehitaji please nichek WhatsApp 0763772636

IMG-20200729-WA0033.jpeg
IMG-20200725-WA0130.jpeg
IMG-20200716-WA0105.jpeg
 
Cytotoxic

Senior Member
Apr 14, 2020
114
250
Husika na kichwa hapo Juu ninauza blender mpya kabisa aina ya Kenwood zenye uwezo wa kufanya kazi nzito yaani zinafanya kazi zote za kusaga vitu vikavu na vilaini inasaga Hadi unga yaani nafaka za aina zote

Kwa wale wanaotengeneza Juice hii Blender inapiga kazi hutojutia kununua

Specification
Ina watts 3,000
Ina jag la ukubwa wa Lita mbili
Inauwezo wa kusaga viungo, na nafaka za aina zote
Inasaga Juice kwa haraka sana
Inapiga kazi Sana nimeshindwa ku upload video Yake hapa kuona jinsi inavofanya kazi ila kwa anaetaka kuona video just check me kwa WhatsApp 0763772636 nitakuonyesha
Garama Yake Ni nafuuu Sana
Sh 145,000 tu
Kwa anaehitaji please nichek WhatsApp 0763772636

View attachment 1551130 View attachment 1551133 View attachment 1551137
...Asante kwa taarifa..Je zina warranty hizo blender zako?
 
pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,132
2,000
Inasaga kila kitu kiongozi Juice viungo vya chai, mchele wa vitumbua kila kitu ina watts 3,000 Ni kubwa Sana hutojutia Tena kwa wafanyabiashara wa juice hizi ndo Blender wanazotakiwa kutumia commercial blender zinapiga kazi Muda mrefu ulizia kwenye maduka ya vyombo hizi blender sio chini ya laki mbili na nusu wanauza
Inaweza kusaga juice? ??!!!
 
Tukiendelea kupata support kutoka kwa wateja wetu wa jamii forum karibu tukuhudumie hutojutia mashine inapiga kazi sana kwa walionunua watakuwa mashuhuda

WhatsApp me 0763772636
IMG-20200901-WA0043.jpeg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom