Tunabuni miradi na kuandika proposal, report, business plan, company profile n.k

sungura23

Member
Apr 1, 2013
52
73
Habari zenu wakuu.

Tunapenda kuwafahamisha kuwa tuna wazoefu wanaoweza kuandaa vitu vifuatavyo:

1. Proposal za aina zote (Za biashara, miradi, vipindi vya TV na redio, promotion, N.K)
2. Report (Za utafiti, mradi, tukio, mafunzo, n.k)
3. Script, Speech and Dialogue writing
4. Company Profile (Tunadesign na kuandika content na tunaprint pia)
5. Data collection (Ukusanyaji wa taarifa za aina mbalimbali kama vile tafiti za afya ama za kimasoko)
6. Data entry (kuingiza taarifa kwenye computer kwa kutumia EXCEL, SPSS au Google Docs n.k)
7. Website Design kwa ajili ya taasisi, kampuni, NGO, biashara n.k

Tunabuni mawazo (IDEAS) za aina mbali mbali kama biashara, miradi, vipindi vya TV na redio, matangazo, majarida, kampeni N.K

Tunapatikana Tabata Sanene, Dar es Salaam.

Mawasiliano: 0658322565

Karibuni
 
Umebuni mawazo, miradi mingapi ya kwako ambayo inakuletea pesa mpaka sasa. Au ndio ule usemi usemao ukiitwa kwenye fursa, ujue wewe ndio fursa yenyewe? All the best mkuu.
 
Back
Top Bottom