Hahah biashara njema mkuu,chuma kiko njema.Picha Zilikuwa njiani boss wangu[emoji16]
Impreza iko njema.Naombeni kujua Impleza kama iyo na Toyota IST ipi ipo safi kwa safari ndefu na barabarani ya vumbi???
Unasema kweli mkuu, maana nataka ninunue moja wapo ila safari zangu zitakuwa za ifakara, na maenge uko barabara mbovu sana ukoImpreza iko njema.
Boss gari ngumu Sana hii kuanzia body, na inatulia sana barabarani.Unasema kweli mkuu, maana nataka ninunue moja wapo ila safari zangu zitakuwa za ifakara, na maenge uko barabara mbovu sana uko
Kweli mkuu,uzuri hizi pia ni AWD so hata barabara za tope unachomoka vzr kabisa mkuu.Unasema kweli mkuu, maana nataka ninunue moja wapo ila safari zangu zitakuwa za ifakara, na maenge uko barabara mbovu sana uko
Ok ipo hivi bossUmeitumia kwa muda gani?
Ngoja nikatumie pic kamchepuko kangu kakiielewa ndakucheki Mkuu.
Siku ukija Ifakara, unijulishe ili nikuletee samaki mkuu! Mimi niko huku Mofu. Nakula tu wali kwa samaki wa Mto Kilombero kama sina akili nzuri vile.Unasema kweli mkuu, maana nataka ninunue moja wapo ila safari zangu zitakuwa za ifakara, na maenge uko barabara mbovu sana uko