Natafuta eneo la kujenga kiwanda cha bamboo Iringa

Natafuta eneo la kujenga kiwanda cha bamboo Iringa

Nina mteja wangu anataka eneo la kujenga kiwanda cha bamboo Iringa, mwenye eneo Iringa hasa ambalo lipo karibu na bamboo itakua vizuri sana, au dalali yoyote aliyopo Iringa tuwasiliane.

0693959469
Ni kiwanda cha bamboo juice a.k.a ULANZI, au? Hebu fafanua kidogo mkuu kwa kiswahili kama inawezekana. BAMBOO kwa ajili ya nini!!!!!
 
Ni kiwanda cha bamboo juice a.k.a ULANZI, au? Hebu fafanua kidogo mkuu kwa kiswahili kama inawezekana. BAMBOO kwa ajili ya nini!!!!!
hizo ndio bamboo yanakua kama matete
Screenshot_20210126-130308_Chrome.jpg
 
Mnataka kutengeneza Pombe ya Ulanzi au mnataka kuanzisha Shamba la Mianzi?
 
Linalotakiwa ni shamba walime bamboo ama
Maana kiwanda cha bamboo hapo ndio sijaelewa
wao watajenga kiwanda ambacho kitakua kina process hizo bamboo kabla ya kupelekwa china, so bamboo watakua wana nunua kutoka kwa watu wenye mashamba ya bamboo.
 
Uje iringa ufany survey uwez kukosa eneo na hk mihanzi ni unakuwa vizur
 
Back
Top Bottom