Gari ya mizigo ya kukodi inahitajika(box body)

kaale

Member
Joined
May 19, 2014
Posts
96
Reaction score
36
Inahitajika gari ya kukodi box body kwa AJILI ya kusambaza mizigo kutoka Godown kwena sokoni.
VIGEZO.

1.Gari iwe na dereva wake.
2.Dereva atalipwa na mwenye gari.
3.Tani 3 mpaka 5.
4.Gari itakodiwa kwa mwendelezo na malipo ni kila baada ya mwezi.
5.Kiwango cha siku ni Tsh.60,000-70,000 kutegemea na gari.
6.Gari lazima ilale Godown/Ofisini siku za kazi.
7.Mawasiliano zaidi 0625492720.
8.Mafuta juu yetu.
9.Vibali vya kuingia mjini/city centre ni juu yetu.
 
6.Hapana

Bora ununue tu suzuki carry,,hiyo hela haimlipi transpoter
 
Back
Top Bottom