Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Chumba kuwe sehemu yenye usalama, Eneo lolote, wilaya yoyote ndani ya Dar, Kodi isizidi elfu 60 kwa mwezi. Kama unacho tuma namba pm Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wandugu natafuta kiwanja Maeneo ya Kimara, Salasala, Tegeta, Goba, Makongo juu, Madale. Kiwanja kiwe na ukubwa wa zaidi ya sqm1000. Mwenye nacho ani DM tuongee bei.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nitaipataje bein sport decoder??
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Tunasambaza kokoto bora kabisa kutoka Moja kwa Moja kwenye Karasha letu Lililopo LUGOBA, Kokoto zetu ni bora kabisa inayozalishwa kutoka katika Mashine za Kituruki. Sifa kubwa ya kokoto zetu...
1 Reactions
27 Replies
10K Views
Kama kuna Company ambayo inatumia Tally.ERP geniune multuser. Hawaitumiii wawasiliane nami kwa 0766866717
0 Reactions
2 Replies
790 Views
Nahitaji jezi za juu tuu(t-shirt), wapi nitazipata na bei zake zipoje???
0 Reactions
5 Replies
2K Views
1.Ufungwaji wa Dish - Uimara wa sehemu ilipofungwa - Fundi amefungaje je kama huyu - Fundi alitumia signal finder? (kifaa cha kutafuta signal) - kwenye dish (lnb) tundu inayofungwa cable...
0 Reactions
24 Replies
13K Views
StarTimes 4k smart Tv Full Android Tv Inch 55 4k resolution UHD Wi-Fi Bluetooth BRAND NEW Location Dar BEI POA kabisa imebaki 1pc 850,000 Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nahitaji kufanya massage kwa hapa Dar es Salaam ni sehemu gani wanatoa huduma hio na kwa gharama gani.
2 Reactions
99 Replies
31K Views
Dji phamtom 4 drone in new condition haijatumika kwa kazi yeyote zaidi ya kutestiwa toka inunuliwe.ilinunuliwa mwaka jana mwezi wa 10. Bei 2.7m(maongezi yapo kidogo sana). Nicheck 0752527054 or...
1 Reactions
1 Replies
769 Views
Hii ramani ina masterbedroom, two bedrooms, sitting room,kitchen, dining,store room, public toilet na ina urefu 12.25m x upana 13.05m. kwa mahitaji ya ramani, makadirio, ushauri na usimamamizi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Laptop aina ya HP inauzwa ipo kwenye hali nzuri haina tatizo lolote lile. Specs HDD: 1TB PROC: Corei3 RAM:4GB Bei: 800,000/= Maongezi yapo. Ipo Dar Msasani. Kwa anaehitaji anicheki whatsaap kwa...
1 Reactions
8 Replies
981 Views
Wakuu nataka kuagiza hiyo gari kutoka japan,naomba msaada wa kitaalam kuhusu hiyo gari ikiwemo na upatikanaji wake wa spea
1 Reactions
22 Replies
7K Views
"Kutoka Ndoto mpaka Hatima" Ni kitabu chenye maudhui ya kipekee kinachozungumzia maisha katika nyanja mbalimbali ikiwemo familia, uchumi, malezi, mitazamo ya maisha na shuhuda mbali za watu...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
"Kutoka Ndoto mpaka Hatima" Ni kitabu chenye maudhui ya kipekee kinachozungumzia maisha katika nyanja mbalimbali ikiwemo familia, uchumi, malezi, mitazamo ya maisha na shuhuda mbali za watu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nyumba inapatikana ukonga, Mombasa Njia ya lami kuelekea mazizini. (Kutoka stand mpaka kwenye nyumba ni mwedo wa dakika 5) Maelezo. Nyumba ina vyumba viwili (ikiwemo master moja) Sitting room...
2 Reactions
296 Replies
72K Views
Viwanja hivi vinapatikana Vikindu, vimezungukwa na huduma muhimu kama maji, Umeme, Shule, Hospital n.k umbali kutoka Vikindu Stendi ni km 2 Ukubwa Futi 50 X 40 Milion 1. Ukubwa Futi 50 X 80...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Umechoshwa na Tv box za kichina ambazo zipo slow, ngumu kutumia na hazina features nyingi? Karibu kwenye ulimwengu mpya wa Android kwenye Tv yako kwa kutumia Fire stick. Fire stick ni tv Box...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari, Natafuta king'amuzi cha Azam bila kuwa na dish offa yangu sh. hamsini elfu,naomba mwenye mchongo aseme tutafutane na tuyajenge.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom