*TUNAUZA VYAKULA VYA MIFUGO KWA BEI NAFUU*
Huduma ya Usafiri ipo.[emoji1631]🛺[emoji597].```
Mashudu ya Alizeti - @480/kg
Mashudu Alizeti sagwa- 500/kg
Mashudu ya Nazi - @350/kg
Mashudu ya...
Hello wapendwa peleni na majukumu, kwa sasa nipo Dar nina shida na mzigo wa choroko kilo ninanunua 1400. Ninahitaji mzigo mwingi hata Tani 500 kama kuna MTU ana mzigo tuwasiliane.
Habari wadau wa JamiiForums ninge penda kuwa omba yoyote mwenye atakuwa na kazi ya kusafirisha kokoto, mawe, mbao ninge omba connection kama mwenye gari. Naomba unipigie 0625528029.
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri!!!
Karibuni sana ndugu zangu, ninatengeneza na kuuza dagaa wazuri, watamu, safi na salama kutoka ziwa victoria wajulikanao kama Nyama Nono
Nyama Nono ni dagaa...
Heshima kwenu wakuu,Tafadhali naomba kusaidiwa jambo.Ninahitaji kununua TV flat screen yenye bajet ya 1,100,000.
Sasa kuna mdau mmoja aliwahi kuniambia kuwa Zanzibar TV ni bei nafuu zaidi ya Dar...
Niko Rorya na shida kubwa huku Ni mabadilko ya Hali ya hewa. Huku tumezoea kilimo Cha kutegemea mvua. Nyenzo pekee tunayotegemea Ni kutumia ng'ombe ambao kwa nyakati za kiangazi wanaathiriwa na...
Peanut Butter (Siagi ya karanga)
Hii ni karanga iliyosagwa na kuchanganywa na chumvi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Siagi hii ni mbadala kabisa kwa wale wanaohitaji kubadilisha mfumo wa ulaji...
Bei ya vitanda vya kisasa sawa na buuure kabisa, nipo Mbezi beach -Salasala. 0679478758
4 kwa 6 , 250000
5 kwa 6, 300000
6 kwa 6 , 350000
Karibuni sana.
UPDATE LEO JULY 2 2021
LAPTOP ZIMEWASILI NA OFA YA VITABU
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi...
Karibu sana ujipatie mfumo huu madhubuti kwa bei nafuu kabisa..
Tunza biashara yako na epuka kuibiwa!!
Ni mfumo mrahisi sana kuutumia.. Ni Mfumo wa Microsoft Excel uliotengenezwa kwa kutumia...
Inavuta Maji Kwa Urahisi Zaidi kwenye dumu
Ni Ya Kuchaji Na Inakaa Na Chaji
Ni Imara Na Bora Zaidi
Bei: Tshs. 35,000 (Tunadeliver Bure Dar es Salaam)
Call/ WhatsApp: +255-659-358-599 I...
Shasam Accounting Company Limited ni kampuni ya kihasibu na ushauri wa kodi za TRA, kupitia mfumo wa TRA wa makadirio ya kodi wa e-filing, pia tunatoa huduma za Business loans proposal za kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.