uliiipata mkuu?Ukipata ni pm na mimi natafuta kwa udi na uvumba
wee unayo boss?go amazon au bestbuy
wee unayo boss?
Unalipiaje malipo ya mwezi?Mi ninayo nipe ofa yako, decoda na remoti yake
Unalipiaje malipo ya mwezi?
Daah"Shida me niko Daressalaam tanzania boss saa siju tunafanyaje
Ya mwaka gani mkuu,leta picha tuone ni 4k au hd receiverMi ninayo nipe ofa yako, decoda na remoti yake
Contact buyer through WhatsApp akutumie kwa bas.Daah"Shida me niko Daressalaam tanzania boss saa siju tunafanyaje
Gharama zake zipoje?Contact buyer through WhatsApp akutumie kwa bas.