Kitabu cha Mch. Dr. Eliona Kimaro

Kitabu cha Mch. Dr. Eliona Kimaro

JaphetJacob

Senior Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
106
Reaction score
121
"Kutoka Ndoto mpaka Hatima"

Ni kitabu chenye maudhui ya kipekee kinachozungumzia maisha katika nyanja mbalimbali ikiwemo familia, uchumi, malezi, mitazamo ya maisha na shuhuda mbali za watu waliofanikiwa

Kinapatikana kwa shilingi 20,000 (Elfu ishirini tu), popote ulipo ndani na nje ya Tanzania utaweza kupata

Kwa mahitaji wasiliana na no 0757595433

KARIBU SANA
 
Attachments

  • 20210212_203853.jpg
    20210212_203853.jpg
    26.6 KB · Views: 27
Natamani kupata nakala moja,huyu mtu huwa namuelewa sana!! Ni evangelical motivational preacher pekee ninayemwelewa mahubiri yake na mafundisho pia,napiga simu sasa hivi
 
Natamani kupata nakala moja,huyu mtu huwa namuelewa sana!! Ni evangelical motivational preacher pekee ninayemwelewa mahubiri yake na mafundisho pia,napiga simu sasa hivi
Karibu sana Boss 0757595433
 
Back
Top Bottom