Za simba zipo kariakoo pale mkuu buku buku tuNahitaji jezi za juu tuu(t-shirt), wapi nitazipata na bei zake zipoje???
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Za simba zipo kariakoo pale mkuu buku buku tu
Mkuu kweli..tena kama muongeaji unaweza pata hata kwa 650 kuanzia pis 2Mkuu hii ni kweli au imekaa kiushabiki shabiki?