Sale: Jipatie kokoto bora za ujenzi toka lugoba.

metatron

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
552
274
Tunasambaza kokoto bora kabisa kutoka Moja kwa Moja kwenye Karasha letu Lililopo LUGOBA, Kokoto zetu ni bora kabisa inayozalishwa kutoka katika Mashine za Kituruki.
Sifa kubwa ya kokoto zetu hazina vumbi kabisa hivyo inamufanya utumie kiwango kidogo cha cement katika ujenzi wako. Tunazo kokoto za ukubwa mbali mbali kama 1/2 na 3/4 na bei zetu ni nzuri Sana kulinganisha na ubora. Cubic meters Moja ni @ 80,000/= +VAT hii ni pamoja na usafiri mpka site kwako.

METATRON LIFT CO LTD
P.O.BOX 5848 - MBEZI BEACH
+255 714 434 190
+255 679 393 975
E-MAIL: metatronlift@gmail.com
Screenshot_2017-06-07-20-51-55.jpg
Screenshot_2017-06-07-20-52-33.jpg
 
asante mkuu...je malipo lazima yawe cash? au mnaweza nivumilia mpaka niandikiwe cerficate?
 
asante mkuu...je malipo lazima yawe cash? au mnaweza nivumilia mpaka niandikiwe cerficate?
Mkuu karibu Sana kwa Hilo tutakubaliana tu haina shida na kwa kuwa utachukua mzigo mkubwa basi tutakupa punguzo kidogo, karibu Sana.
+255 714 434 190
 
Tunasambaza kokoto bora kabisa kutoka Moja kwa Moja kwenye Karasha letu Lililopo LUGOBA, Kokoto zetu ni bora kabisa inayozalishwa kutoka katika Mashine za Kituruki.
Sifa kubwa ya kokoto zetu hazina vumbi kabisa hivyo inamufanya utumie kiwango kidogo cha cement katika ujenzi wako. Tunazo kokoto za ukubwa mbali mbali kama 1/2 na 3/4 na bei zetu ni nzuri Sana kulinganisha na ubora. Cubic meters Moja ni @ 80,000/= +VAT hii ni pamoja na usafiri mpka site kwako.

METATRON LIFT CO LTD
P.O.BOX 5848 - MBEZI BEACH
+255 714 434 190
+255 679 393 975
E-MAIL: metatronlift@gmail.com View attachment 520925View attachment 520929
Bei nzuri! Maana jkt wanauza 70,000 kwa m3 ila usafiri juu yako
 
Sawa mkuu hiyo ni Bei ya Jkt zipo hadi za 65 ila jiandae kupata vumbi nyingi na kuibiwa kwa hizo cubic meter
Za jkt nimezitumia sana hazina vumbi. Ila wewe ni rahisi kama gharam inajumuisha usafiri ila sijui kama usafiri ni popote maana wengine wanajenga vikindu
 
Za jkt nimezitumia sana hazina vumbi. Ila wewe ni rahisi kama gharam inajumuisha usafiri ila sijui kama usafiri ni popote maana wengine wanajenga vikindu
Nashukuru umeona tofauti hapo kama wao wauza kwa cubic meter 70,000.00 bila usafiri na Mimi nauza kwa cubic meter 40,000.00 na usafiri 40,0000.00 jumla elfu 80,000.00 tofauti ni kubwa Sana. Kwa vikindu utaongeza hela kidogo ya usafiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom