Kumekuwa na changamoto kubwa mbili kwa watu wanaogiza vitu kwenye mitandao hii nguli ya Kichina
Bei ya mali kuwa rahis lakini usafiri kuwa bei kubwa.
Wengine njia za kufanya malipo kushindwa hasa...
WANA JF,
no eneo zuri kwa makazi liko juu hakuna hofu ya mafuriko karibu na kituo cha magari yaendayo mjini kiujumla ni mahali salama kwa makazi being 100,000 kwa mwezi mawasiliano 0699 522471...
Natafuta vifaa vya watoto vya kuchezea mazingira ya nnje kama shule ni.
Mfano bembea, mterezo, baiskeli za chuma zilizounganishwa na chuma mithili ya bembea n.k.
Utumapo bei ambatanisha na picha...
KAMPUNI ya simu za mkononi ya itel imezindua kampeni ya promosheni ya ‘Nogesha Valentine na itel’ jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari hivi punde jijini Dar es Salaam meneja...
Kama Kichwa cha habari kinavyo Jieleza natafuta Mtu au Supplier anaeuza Matofali ya kuhimili Moto Mkali (FIRE BRICKS) ARUSHA na DAR.
HUDUMA INAHITAJIKA HARAKA MNO
Niaje wakuu nahitaji kukusanya stock ya kutosha ya mahindi ya njano pamoja na maharage. Hivyo naomba kujua namna naweza kupata, nipo Arusha hapa..
Asanteni.
Habari za leo wanaJF,
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Tabata ama Mabibo/ au Segerea. Chumba kimoja tu. Kikubwa ni mazingira yawe rafiki kwa mtu kuishi.
Umeme uwe wa kujitegemea hata kwa...
Wakuu msaada.. Kwanza Habarini za uchovu wa majukumu.. Ninauliza Kwa anaefahamu bei za jumla ya yebo yebo pale kariakoo bei gani.. (za age Zote) Na maduka yake yanapatikana maeneo gani... Msaada...
Hi za wakati wapendwa,Poleni kwa majukumu na miangaiko ya hapa na pale.
Nipo mwanza ninajihusisha na biashara ya ;
1.Perfume za kupima kwa ujazo tofauti tofauti kwa bei ya jumla na reja reja,
Za...
Jipatie magodoro Original ya Spring kutoka kiwanda cha QFL magodoro Dodoma, kwa wateja wetu wa Dar es salaam tunakuletea hadi kwako buree kabisa na malipo yote yanafanyika nyumbani kwako...
Habari wana jukwaa,
Naomba msaada kwa anayejua site za kweli na uhakika unazoweza kuagiza vitu used (electronics) za usa,uk na dubai.
Asanteni kwa muda wenu, naomba saana msaada huu
Ni imara na zinapendezesha nyumba
Wateja wa Dar unaletewa buree (free delivery)
Kufungiwa pia ni buree( free fixing)
Zipo rangi mbalimbali
Mikoani tunatuma kwa bei nafuu
Malipo mpaka upate mzigo...
Kufanya biashara bila kusajiriwa ni kosa kubwa kisheria, Fininnovation Limited itakusaidia kukuhakishia inakusaidia ili uweze kupata kampuni au jina la biashara muda mfupi. Mchakato mzima...
Karibu nikutengenezee MATANGAZO ya sauti na motion graphics kwaajili ya Tv(tvc), Radio station, pia social media...(instagram, fb)etc, kwa wale wenye Biashara mbalimbali(HOTELS, MADUKA, PUB...
Sasa wale walio kuwa wana boreka na Spread za templer, hatimaie Tickmil ambaye ni ECN broker mwenye Zero spread anatuletea huduma ya kuweke pesa na kutoa kama Templer yaan kwa simu.
Ukitaka...
Kuna mtoto wa mtu amejaa, anataka nimvishe pete, nimeona isiwe tabu ngoja nikate kiu yake.
Naomba kujua maduka yanayouza pete original za madini kama almasi, dhahabu, shaba ama tanzanite kwa hapa...
HOUSE FOR SALE LOCATION TEGETA MASAIT
NYUMBA KALI YA KIBABE INA VYUMBA V3
MASTER BEDROOM ZOTE
SEBULE KUBWA
JIKO LENYE MAKABAT
NYUMBA NIMPYA
UWANJA UNA QM 1200
PANA HAT SAFI
BEI MILLION 350...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.