1. Viko umbali wa 4km kutoka lami au 4km kutoka Dar es Salaam Zoo au 14km kutoka Kibada centre ama 23km kutoka ferry
2. Vimepimwa tayari kwa hati
3. Unaweza lipia hadi hati halafu tukakutafutia...
Shamba la miti ya mbao ekari 80 linauzwa kijiji cha kibengu wilaya ya mufindi km 60 kutoka mafinga mjini, miti ina umri wa miaka sita.
Mahali panafikika kwa usafiri wa aina zote. Bei elekezi ni...
Habari wadau. Nina hitaji hii battery na chaja kwaajiri ya simu yangu ya mezani.
Can someone please help before sijakata tamaa na kuingia mwenyewe mwituni kuvitafuta.....
TANVORES tunawaunganisha wakulima, wafugaji na wavuvi pamoja na wachakataji wa bidhaa hizo moja kwa moja kwa wateja.
Ni rahisi, tuma picha ya bidhaa zako, mawasiliano na mahali ulipo nasi...
Niaje kuku farm inakukaribisha wewe mfugaji mdogo na wa kati mwenye ndoto za kukuwa kwa speed nzur na kupata faida kwenye ufugaji wako katika mafunzo ya utengenezaji wa mashine za...
Jipatie smartwatch kali inayosuport android na ios kwa bei ya jumla na rejareja
t 500
Inatumia wireless charge
ina kioo kikubwa full hd
Unapokea simu kwenye saa yako
inakutumia notification zako...
Habari wadau,
Nahitaji Howo tipa 6×4 Yaani yenye tairi 10. Iwe nzima, safi na tayari kwa matumizi. Iwepo Dar ili kurahisisha ukaguzi. Offer yetu haizidi 60M. Kama unayo tafadhali nitumie picha...
Wapendwa nawasalimu nyote
Naomba kwa anayefahamu bei mpya za mashine ya luku ya umeme kulingana na aina zake na viwango vyake ..maana nataka kununua hiyo mita kwa matumiz ya salon yangu peke...
Habari wanabodi
Natafuta fundi wanaoweza kuni-designia mini coffee shop yangu kwa namna ambayo ni ya kisasa.
Mafundi wazoefu karibuni kwa michango yenu.
Habari waheshimiwa
Nauza apple imac core 2 duo mtumba kutoka nje(ziko nyingi)
sifa zake
Hdd 500gb
ram 2gb (inaongezwa)
nch 24 wide
processor 2.8ghz
core 2 duo
graphics ATI radeon HD 2600 PRO 256...
Husika na kichwa hapo juu,siuzi moja moja kwa mtu anayetaka anayetaka itamlazim achukue zote mbili. Bei ni 220000.
Napatikana Dar es salaam kwa no 0693090099.karibuni
Habari wana jukwaa. Ninahitaji kiwanja cha makazi DSM eneo laweza kuwa kuanzia Kimara hadi Standi mpya ya Maili Moja Kibaha umbali kutoka Barabara ya Morogoro usizidi kilometer moja.
Kifupi nimeona nije Mwanza kwa kuwa ni karibu.Ila nilifikiria kwenda Dar maana Nairobi kuna usumbufu kwa sababu ya covid.
Nisaidieni Mwanza ni duka gani linauza hivi vitu?
√ cc 650
√ automatic transmission
√ too economy (less fuel consumption
√ sports rim (rim sport)
Conditions: mint
No accident history
Location: dar es salaam
Price: 6m
See photos below
Habari wadau,
Infinity works inatoa offer kwa wale wanaotaka kupendezesha nyumba zao kwa kuweka dirisha za aluminium.
Kutokana na ugumu wa maisha na upatikanaji wa fedha, tumeamua kuwaleta offer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.