Tanvores- soko la wakulima

Tanvores- soko la wakulima

Ottician

Senior Member
Joined
Jul 6, 2019
Posts
103
Reaction score
83
TANVORES tunawaunganisha wakulima, wafugaji na wavuvi pamoja na wachakataji wa bidhaa hizo moja kwa moja kwa wateja.

Ni rahisi, tuma picha ya bidhaa zako, mawasiliano na mahali ulipo nasi tutaweka katika kurasa zetu BUREE na wateja watawasiliana nawe.Karibu tukue pamoja.#kilimo.

IMG_4348.JPG
 
Back
Top Bottom