Habari ya asubuhi wadau.
Wapi naweza kupata boti ndogo kwa ajili ya uvuvi mdogo kwa maeneo ya Dar ama Pwani? Unapojibu tafadhali ambatanisha picha na bei elekezi.
Naambatanisha picha za aina ya...
Jamani blauzi za mtumba hizo za kike grade one tunauza sh 5000 moja au ukichukua 10 na kuendele unachukua kwa bei ya jumla (4500/4000),nguo zote ni quality pitia account yetu ya instagram kuona...
💥UNGEPENDA KUJIFUNZA KUSHONA?! HII NI NAFSI YAKO..💥
⚫JE, umemaliza darasa la saba, form 4 au form 6 umekaa nyumbani bila mwelekeo au umeajiriwa lakini unatamani kujifunza kushona iliupate side...
Angalia unachokitaka then nicheki nikuhudumie kwa Bei ya maelewano.
1. Naprint T SHIRT @15000/= (kudarizi na kawaida)
2. Naprint VITAMBULISHO VYA PVC @3000/=
3. Naprint Business cards 20000/= kwa...
kiwanja kipo maeneo ya ubungo kibangu karibu na kwa novo
size ya kiwanja ni nusu heka
bei ya kiwanja ni milion 35
kiwanja kina hati moja ivyo unakatiwa nusu heka hlf hati inafuatiliwa ya kwako tu...
Hatimae LWANDA MAGELE ameshatoa kitabu chake Cha kwanza alicho simulia story ya maisha yake hapa jf jipatie nakala yako kwa 5000 tu. Angalia uzi wake huu hapa Mikasa ya ajabu nilioushuhudia kwa...
Wadau habari.
Ninataka ya kununua combine harvester lakini sijajua life span ya hizi mashine. Mwenye uzoefu aniambie kama ni kwa muda gani hii mashine inaweza kufanya kazi bila kubwa ama naweza...
KUTOKANA NA ONGEZEKO LA SHULE KUTEKETEA KWA MOTO
Royal security solutions tumekuja na teknolojia ya kudhibiti kabisa tatizo la mabweni kuteketea kwa moto kila kukicha ..
Janga hili limekuwa...
Punguzo la beik kubwa
Karibu ujipatie viwanja vizuri maeneo ya Kibaha Misugusugu. Viwanja tambarare kabisa. Viwanja viko 2km kutoka Morogoro road. Huduma za kijamii zipo karibu
20kwa20 bei 1.8m...
Wadau nauliza kwa yeyote ambaye ana taarifa za uhakika kuwa kuna mashamba yanauzwa kwa bei rahisi sana huko Moro kuwa hizo habari ni za kweli na hekari ni Tshs ngapi na ni maeneo gani hasa...
-Kiwanja kipo Kiluvya Gogoni mbele ya Kibamba
-Kiwanja kinatazama Morogoro road
-Kina ukubwa wa square meter 4800s
-Kina hatimiliki
-Kinafaa kwa matumizi ya sheli,godown au kiwanda
bei : mil...
Cha kwanza niwafahamisheni kuwa , kuanzie leo ondoa mawazo yako kuwa ili uwe na ngozi yenye afya ni lazima uwe na vipodozi vingi.Bali baadhi ya vipdozi havipendani na vingine, ukazidi haribu ngozi...
Kina ukubwa wa 2500 square meters
Kimepimwa
Kinafikika
Huduma za maji na umeme zipo. Bei elekezi 200mil.
Kwa habari zaidi kuhusu kiwanja hiki wasiliana nami kwa simu +255627660225
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.