Natafuta color printer leo napata duka gani?

Natafuta color printer leo napata duka gani?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,633
Reaction score
7,021
Kifupi nimeona nije Mwanza kwa kuwa ni karibu.Ila nilifikiria kwenda Dar maana Nairobi kuna usumbufu kwa sababu ya covid.

Nisaidieni Mwanza ni duka gani linauza hivi vitu?
 
Sisi ni wa purimuvu, mutuwachege na u sitoni eji wetu
 
Back
Top Bottom