Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu, kwema? Nahitaji tani 50, mwenye Nazo au napoweeza kupata karibuni sana.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Eneo la fukwe linauzwa lipo Kigamboni. Kilometa 3, kutoka ferry. Ukubwa wa eneo: SQM 7228 Documents: Hati safi kabisa. Bei: Mil 750 (Maongezi yanaruhusiwa) Call: 0758676743
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Natafuta juke box iwe mpya au used, naomba unipe na bei yako, unapatikana wp? Vile vile hataukinisaidia kwamba zinauzwa wp utakuwa mtu mwema maana sijui wapi zinauzwa hizi vitu hata kama nje...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
-Eneo lipo Goba karibu na njia nne,limeface barabara ya lami -Ukubwa wa eneo ni square meter 2961 - Eneo lina hati kwa matumizi ya sheli Bei: maelewano na mmiliki mawasiliano: 0765494548
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello members , Jina langu Renyo Msuya, Nafanya kazi na makampuni ya kuuza magari kutoka japan kuja Tanzania. Niulize swali lolote kuhusu magari na bei zake , pia tuna import magari kwa bei nafuu...
12 Reactions
1K Replies
229K Views
Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600,na senyenge ina unene wa milimita1.6. Inafaa kwe fensi ya nyumba,maboma ya mifugo,shamba,nk. Bei kwa rola moja ni 110,000/=.Zipo rola4...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za wakti huu; Kwa muda sasa nimekuwa nikizungumza na watu juu ya kuzalisha na kutumia Pesa. Jambo ambalo nimgundua ni kwamba imani yako kuhusu Pesa inaweza kathiri uwezo na kiwango cha...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Clean Condition For Sale Used In 8Month Internal 64gb Ram 6gb Fingerprint Battery 1 day when Data On Price 200,000/= Contact me 0656862110
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Kitabu hiki kinapatikana kwa bei nafuu kabisa ya shilingi 7,000/= za Kitanzania. Unaweza kununua nakala yako kwa [emoji1428]Tigo Pesa: 0659-409447 [emoji117]M-PESA 0767 879406...
1 Reactions
0 Replies
505 Views
Habari za leo? Nnahitaji pikipiki ya kufanyia kazi kwa mkataba, mimi ni mwanaume, umri wangu ni miaka 33, nina familia ya watoto 3, nipo Dar es Salaam, Tandika Magorofani. Ikiwa pikipiki itakuwa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Ipo vzuri haina tatizo lolote lile Ipo mabibo dsm Battery health [emoji817] call/txt/whatsapp 0768048752
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu [emoji3577] Ni matumaini yangu wote ni wazima kabisa. Nauza Jiko la njia nne ambazo tatu ni za gas moja ndo umeme kwa 280000 tuu fixed price. Pia nauza Water dispenser aina ya Bruhm kwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Vipo vitabu vya Pure Mathematics, Geography, History pamoja na English kwa ajili ya wanafunzi wa form 5&6. Vitabu vimetumika, ila vipo katika hali nzuri. Bei: Pure Mathematics 1 = 25,000 Pure...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Tunafunga Gps car tracking system kwa siri ili kuzingatia ulinzi na kujua mwenendo wa gari , bajaji, pikipiki yako kwa bei nafuu. Tupo Dar Es Salaam na pia kwa mikoani tuna mawakala wetu. Kuona...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kiwanja kizuri na kikubwa kinauzwa Tabata. Bei mil 11 Ukubwa ni 30*30 Huduma zote zipo maji na umeme. Mita chache kutoka barabara kuu ya mawenzi. *ardhi ina mchanga mwingi utapata was kujengea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nipo mbeya na ntakufuata mbeya sehemu yoyote kununua
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Spika zinauzwa aina mbili tofauti moja ni aina ya tiger zipo,mbili ndefu na mbili fupi zote zina mixer yake na ni mpya kbs hazijatumika spika mbili kubwa bei yake ni 400,000 ,zinatumia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
App ya Piman tv max inapatikana Playstore kwa kusearch neno Piman tv, Lakini App hii Haijazinduliwa hivyo tumei publish playstore kwenye kipengele cha Development. Karibu kwa Ushauri wako wewe...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Nyumba ipo Bomangombe Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro Ngalawa Road, nyumba bado ni mpya na ina room nne za kulala. Ambazo mbili ni master, ina sebule kubwa, jiko, stoo pamoja na dining. Bei...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom