Kiwanja kizuri sana, Kipo Goba inayopakana na Madale/Mivumoni
Ukubwa wa Kiwanja - Mita za Mraba 400 (Unajenga na Nyumba ya Vyumba 3 na eneo linabaki kwa matumizi mengine i.e parking)
Bei - Tshs...
Helow friends,
Poleni kwa uchovu na hongereni kwa kuianza weekend.
Kwa wale wanaoanza maisha leo nataka kukueleza vitu vichache tu; najua huwezi kuanza maisha bila vyombo kuna rangi chache ni...
Chumba kimoja cha kulala pamoja na sebule.
Eneo: Mbezi Beach
Bei Tshs 100,000/Mwezi
Maji ya dawasa yapo masaa 24, Usalama Upo wa kutosha, Ipo umbali wa dakika 2 kutembea kwa mguu.
Tuwasiliana...
pata huduma za kuprint kwa bei nafuu
colour printing a3 1000-hii ni full colour kwa karatasi yoyote ,gross 300-150.mate paper
film kwa ajili ya ramani ni .
A3 tsh 1500,
a4 tsh 800
colour a4...
Nauliza wapi wanapotoa Copy kwa bei rahisi DSM Tshs 30 mpaka 25.
Nasikia maeneo ya karibu na taasisi za kielimu i don't have ideas anapajua anipe Address.
Habari wadau.
Kama Kuna yeyote mwenye platform ambayo shule inaweza kutumia kwa kutuma mitihani online kwa wanafunzi wake kipindi Cha likizo, tafadhali anijuze.
Cha msingi sana,
Mwanafunzi awe...
Laptop inauzwa. Toshiba Satellite C650
Ram : 3gb
Processor: Intel (R) core i3 , 2.27 gHz
Window 10
Bei: Laki mbili na elfu ishirini (250,000)
Mahali : Kigamboni
Sababu ya kuuzwa: Matatizo ya...
Samsung s6 edge
Ina crack mbele ambazo hazina madhara
Hazionekani sana
Camera safi
Fingerprint
Face unlock
Rom 32
Location: Dar Kimara-Suka
Price : 170k
0654224700
Nauza mahindi KWA sh 55,000 (gunia)
Debe la mahindi utapata KWA 8500
Kila jumamosi mzigo unaingia wote mnakaribishwa.
Bei ya debe la mahindi KWA Dsm ni kuanzia 10k.
Ila ofa hii ipo KWA kipindi...
Bado tunasisitiza UBORA NI KIPAUMBELE KWETU. Karibu Ujipatie Business Cards (Plastic Material) zenye ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu sana. 30,000/= per 50 Pcs.
Tunapatikana Dodoma lakini...
Habari,
Nauza gari Aina ya Toyota Verossa number DAK haina tatizo lolote unawasha gari na kwenda safari kokote, gari ni yangu mwenyewe nauza ili nibadilishe au pia tunaweza kubadilisha...
JOB TITLE: Rock Tools Assistant
Location: Bulyanhulu, Tanzania
Job duties:
● Follow established guidelines or checklists to answer routine internal and customer enquiries on service and product...
Chumba masta (Chumba kimoja cha kulala pamoja na choo chake)
Eneo: Mbezibeach
Bei Tshs 120,000/Mwezi
Maji ya dawasa yapo masaa 24, Usalama Upo wa kutosha, Ipo umbali wa dakika 5 kutembea kwa...
Business as usually guys tumepata matumaini mapya sasa tufanye kazi, nitawaletea fursa za connection international and local with conditions to be respective on the agenda.
1)Lets start with...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.