Natafuta mafundi wa kudesign mini coffee shop

Natafuta mafundi wa kudesign mini coffee shop

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,668
Habari wanabodi

Natafuta fundi wanaoweza kuni-designia mini coffee shop yangu kwa namna ambayo ni ya kisasa.

Mafundi wazoefu karibuni kwa michango yenu.
 
Ungeenda kwa ambayo iko tayari akupe fundi wake. Hapa utaambulia madalali na utapeli mtupu
Ambazo zipo tayari zipo mbali na nilipo hivyo sina taarifa zaidi ya hapo ndio maana nataka fundi anaejua hizi kazi.
 
Habari wanabodi

Natafuta fundi wanaoweza kuni-designia mini coffee shop yangu kwa namna ambayo ni ya kisasa.

Mafundi wazoefu karibuni kwa michango yenu.
Nenda Instagram kwa @jenga_leo. Jamaa ni wazuri sana hawa
C1.png

C2.png
 
Situmii instagram mkuu.njia ingine naweza kuwapataje?
Ningekushauri ujiunge hata temporarily au hata kutumia akunti ya mtu ili ujiridhishe kwanza na kazi zao!! Ndugu yangu, usipumbazwe na baadhi ya watu wanaoponda Instagram kwamba sijui Instagram hivi mara Instagram vile! Hayo ya hivi mara vile ni preference yako lakini biashara inahamia Instagram kwa kasi ya kutisha sana! Jiunge kajionee mwenyewe na si ajabu utaona hata huyo niliyem-recommend ukaona si lolote si chochote mbele ya wengine utakaoona kazi zao. Binafsi nime-recommend @jenga_leo kwa sababu moja ya msingi. Mara kwa mara wakitoa michoro yao huwa wanaweka hadi budget range wakati wengine ukiwauliza jambo dogo tu, utawasikia "njoo DM" utadhani wanauza bangi. Na kingine ambacho nimegundua kwa hawa jamaa wapo very affordable na inawezekana ndo maana hawaoni taabu kukuwekea hadi gharama kitu ambacho ni nadra sana kwa builders wengine.
Jenga.png
 
Back
Top Bottom