Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu, naomba msaada wenu nilikua na shida ya mafuta kwa ajili ya kutengenezea sabuni naweza kuyapata wapi maana Dar siyo mwenyeji sana. Pili nilikua naomba kuuliza kuhusu packaging za...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
NIMEPANDISHA DAU WAKUU NATAFUTA TV FLAT LED TV NCHI 43 BEI YANGU NI 380K IKIWA SMART TV DAU LANGU NI 450K CASH (SMART INATEGEMEA BRAND DAU LINAWEZA KUPANDA) NAMBA YANGU NI 0769939879
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Anaejua mashine za kusaga plastics Hadi zinakuwa kama unga naomba info.. Hata kama mashine ni locally made.. Plastic kama chupa za maji na vifuniko vyake..
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Anaejua wapi zinapatikana aina zozote za machines za kusaga plastics..hapa nchini naomba anipe info. Hata locally made. Plastics nazomaanisha ni hizi kama chupa za maji na mifuniko yake.. wengine...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Grandstream gxp2140 IP Phone for sale brand New, zinapatikana kwa bei ya tsh 80000.wahi kabla mzigo haujaisha kwani zimebaki chache. contact: 0757870230
0 Reactions
3 Replies
867 Views
Wakuu, kwema? Nahitaji tani 50, mwenye Nazo au napoweeza kupata karibuni sana.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Eneo la fukwe linauzwa lipo Kigamboni. Kilometa 3, kutoka ferry. Ukubwa wa eneo: SQM 7228 Documents: Hati safi kabisa. Bei: Mil 750 (Maongezi yanaruhusiwa) Call: 0758676743
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Natafuta juke box iwe mpya au used, naomba unipe na bei yako, unapatikana wp? Vile vile hataukinisaidia kwamba zinauzwa wp utakuwa mtu mwema maana sijui wapi zinauzwa hizi vitu hata kama nje...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
-Eneo lipo Goba karibu na njia nne,limeface barabara ya lami -Ukubwa wa eneo ni square meter 2961 - Eneo lina hati kwa matumizi ya sheli Bei: maelewano na mmiliki mawasiliano: 0765494548
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello members , Jina langu Renyo Msuya, Nafanya kazi na makampuni ya kuuza magari kutoka japan kuja Tanzania. Niulize swali lolote kuhusu magari na bei zake , pia tuna import magari kwa bei nafuu...
12 Reactions
1K Replies
229K Views
Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600,na senyenge ina unene wa milimita1.6. Inafaa kwe fensi ya nyumba,maboma ya mifugo,shamba,nk. Bei kwa rola moja ni 110,000/=.Zipo rola4...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za wakti huu; Kwa muda sasa nimekuwa nikizungumza na watu juu ya kuzalisha na kutumia Pesa. Jambo ambalo nimgundua ni kwamba imani yako kuhusu Pesa inaweza kathiri uwezo na kiwango cha...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Clean Condition For Sale Used In 8Month Internal 64gb Ram 6gb Fingerprint Battery 1 day when Data On Price 200,000/= Contact me 0656862110
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Kitabu hiki kinapatikana kwa bei nafuu kabisa ya shilingi 7,000/= za Kitanzania. Unaweza kununua nakala yako kwa [emoji1428]Tigo Pesa: 0659-409447 [emoji117]M-PESA 0767 879406...
1 Reactions
0 Replies
505 Views
Habari za leo? Nnahitaji pikipiki ya kufanyia kazi kwa mkataba, mimi ni mwanaume, umri wangu ni miaka 33, nina familia ya watoto 3, nipo Dar es Salaam, Tandika Magorofani. Ikiwa pikipiki itakuwa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Ipo vzuri haina tatizo lolote lile Ipo mabibo dsm Battery health [emoji817] call/txt/whatsapp 0768048752
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu [emoji3577] Ni matumaini yangu wote ni wazima kabisa. Nauza Jiko la njia nne ambazo tatu ni za gas moja ndo umeme kwa 280000 tuu fixed price. Pia nauza Water dispenser aina ya Bruhm kwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Vipo vitabu vya Pure Mathematics, Geography, History pamoja na English kwa ajili ya wanafunzi wa form 5&6. Vitabu vimetumika, ila vipo katika hali nzuri. Bei: Pure Mathematics 1 = 25,000 Pure...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Tunafunga Gps car tracking system kwa siri ili kuzingatia ulinzi na kujua mwenendo wa gari , bajaji, pikipiki yako kwa bei nafuu. Tupo Dar Es Salaam na pia kwa mikoani tuna mawakala wetu. Kuona...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom