Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu habari zenu, Natafuta Mikasi ya kubangulia Korosho mwenye nayo ani pm nipo Dar es salaam Asanteni.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Niko Rorya na shida kubwa huku Ni mabadilko ya Hali ya hewa. Huku tumezoea kilimo Cha kutegemea mvua. Nyenzo pekee tunayotegemea Ni kutumia ng'ombe ambao kwa nyakati za kiangazi wanaathiriwa na...
2 Reactions
9 Replies
7K Views
Peanut Butter (Siagi ya karanga) Hii ni karanga iliyosagwa na kuchanganywa na chumvi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Siagi hii ni mbadala kabisa kwa wale wanaohitaji kubadilisha mfumo wa ulaji...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Bei ya vitanda vya kisasa sawa na buuure kabisa, nipo Mbezi beach -Salasala. 0679478758 4 kwa 6 , 250000 5 kwa 6, 300000 6 kwa 6 , 350000 Karibuni sana.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Nauza shelve za duka bei ya hasara laki tatu nipo Banana Ukonga 0712505049 Ziko pande tatu chumba cha kumi kwa saba
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji gari za kupigia misele au shughuli zangu za hapa mjini Sasa kwa mwanza ni wapi wanakodisha. Bei kwa siku zikoje?
3 Reactions
15 Replies
3K Views
UPDATE LEO JULY 2 2021 LAPTOP ZIMEWASILI NA OFA YA VITABU Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Karibu sana ujipatie mfumo huu madhubuti kwa bei nafuu kabisa.. Tunza biashara yako na epuka kuibiwa!! Ni mfumo mrahisi sana kuutumia.. Ni Mfumo wa Microsoft Excel uliotengenezwa kwa kutumia...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanajamvi, Wapi naweza pata hivi viatu kwa Dar es salaam?
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari wana jukwaa, Natafuta pikipiki uesd aina ya sanlg. Napatikana Dar. Mawasiliano karibu PM
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Inavuta Maji Kwa Urahisi Zaidi kwenye dumu Ni Ya Kuchaji Na Inakaa Na Chaji Ni Imara Na Bora Zaidi Bei: Tshs. 35,000 (Tunadeliver Bure Dar es Salaam) Call/ WhatsApp: +255-659-358-599 I...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Dell tourch screen, LATITUDE 3440, Processors corei5CPU 1.60GHZ Hard disk 500GB, Ram 8 GB, Price 560000, 560k with negotiable Location KARUME ILALA,
0 Reactions
2 Replies
932 Views
Shasam Accounting Company Limited ni kampuni ya kihasibu na ushauri wa kodi za TRA, kupitia mfumo wa TRA wa makadirio ya kodi wa e-filing, pia tunatoa huduma za Business loans proposal za kwenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa wakazi wa Dar es Salaam jipatie mchele safi na Super kutoka mbeya. Mchele wetu ni zile mbegu za Asili na si hizi za kisasa yaan ni Mchele mzuri haswa na Maharage ya njano pia yanapatikana kwa...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari wadau, tunawapenda kuwaalika watu wote wanaohitaji huduma ya usafi majumbani, maofisini pamoja na kunyunyizia dawa wadudu wasumbufu kama vile mende, mchwa, kunguni, mbu, nyoka nk...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuwa makini usithubutu kununua Simu hizi zenye sticker Chini juu na Ndani ya Simu huwa ni Simu zilizofunguliwa kubadilishwa housing na kuwa na muonekano Kama mpya ila sio Simu mpya na vile vile...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Kiwanja kinauzwa Kipo maeneo ya Njia nne, Buyuni Dar es Salaam, Kimepimwa, Kina Hati, Kipo maeneo ya Hadhi nzuri kabisa, Umeme, Maji, Barabara, Maduka, Shule ✓✓✓ Kina ukubwa wa Sqm 1010m², BEI KWA...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Rental house with 2 bedrooms, 2 bathrooms, paved compound, ample parking, wall fence, specious compound, located in a cool neighborhood within well developed area with good security in Block 41...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa Kipo maeneo ya Njia nne, Buyuni Dar es Salaam, Kimepimwa, Kina Hati, Kipo maeneo ya Hadhi nzuri kabisa, Umeme, Maji, Barabara, Maduka, Shule ✓✓✓ Kina ukubwa wa Sqm 1010m², BEI KWA...
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Back
Top Bottom