Nahitaji chanjo ya ECF, nipo Dar

Nahitaji chanjo ya ECF, nipo Dar

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,314
Salaam Sana wakuu,

Naomba kujuzwa ni utaratibu gani serekali inatoa kugawa hizi chanjo na mifugo?

Nina ngombe nahitaji wachomwe chanjo za ECF (East Africa fever).

Nimeshaulizia madaktari kadhaa bila mafanikio
 
Chango ya ECF hutolewa kwa ng'ombe 40 na kuendelea. Km una ng'ombe wachache inabidi uwahamasisha majirani wenzako wenye ng'ombe ili muungane kwa pamoja.
 
Muone mtaalamu ( afisa mifugo aliye katika kata au eneo lako atakupa ratiba ya siku maalamu ya kutoa hiyo chanjo na serikal)
 
Chango ya ECF hutolewa kwa ng'ombe 40 na kuendelea. Km una ng'ombe wachache inabidi uwahamasisha majirani wenzako wenye ng'ombe ili muungane kwa pamoja.
Tunafika zaidi ya 40 chanjo hakuna
 
Back
Top Bottom