Natafuta Taa za LED

Ziggler

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
378
127
Natafuta taa za LED najua maduka nayoweza pata kwa reja reja ila ningependa kama ningeweza pata in bulk kwanzia piece 50..bei nayo iwe rafiki kidogo.

Taa nazohitaji ni ceiling lights za 6Watts kama hiyo kwenyenpi picha

Nawasilisha

20210601_101942_mfnr.jpg
 
Back
Top Bottom