TB Joshua Annointing Water

Am looking for TB Joshua annointing water. Any help on how to get the water will be highly appreciated...... Any leads please????
 
Natafuta annoiting water ya TB Joshua wadau naomba mnisaidie kwa hili....
Hey anointing water kwa sasa haiuzwi na ukiuziwa ni ujinga wako na ukumbuke ujinga NI dhambi.upako hauuzwi
Hii anointing water mpya inapatikana ila kwa partners tu.kama unaweza safiri nenda scoan kuna meeting kila weekend unapewa bure.
Kama una mtu unajua anayo basi mulmbe akuombee au akupunguzie kwenye chupa ya maji hata tone.

Ukiuziwa usitarajie chochote
 
Si mchezo....mwanadamu hana tofaut na robot or mbwa or manunu

Ni jins unavyomtrain tu...binadam kama wanyama wengne wana trainika vzur tu

Yaan utakavyo wew...na ndomana kichaa anaweza kula mataka taka asiharisbe ila wew mwenye akil timamu nenda kajarib uone shuhul yake

Ubongo wa mwanadamu una nguvu ambayo binadamu bado hajaijua...

Na ndomana pia mtu anaweza pata ajali.asigundue kama kaumia lets say mkono..mpaka auone au aushike ndipo ataanza sikia maumiv...

So Naamin Mungu alimuumba mwanadam a complete machine ambayo inauwezo wa kufanya chochote..naamin ipo siku mwanadam atakuwa anauwezo wa kujitibu maradh bila dawa ila kwa kutumia brain tu
 
Ole wake amtegemeaye mwanadamu,Kama una imani chukua maji jeuza damu ya yesu tumia
.ulishawahi jiuliza kwenye maji hayo ya upako Kuna Nini ndani yake,kinacholeta uponyaji,? Be care,pesa inatafutwa kwa nguvu zote.
 
Hey anointing water kwa sasa haiuzwi na ukiuziwa ni ujinga wako na ukumbuke ujinga NI dhambi.upako hauuzwi
Hii anointing water mpya inapatikana ila kwa partners tu.kama unaweza safiri nenda scoan kuna meeting kila weekend unapewa bure.
Kama una mtu unajua anayo basi mulmbe akuombee au akupunguzie kwenye chupa ya maji hata tone.

Ukiuziwa usitarajie chochote
Hosea 4:6.
 
Back
Top Bottom